Hataki nimpe lifti mdogo wake

Mwambie amkataze mwenyewe hapo anataka wewe uonekane mbaya mwambie afanye hivyo kama hawezi akae kimya...mbona mwanaume unakua fal..fal..
 
Ngoja nkufundishe ujanja,huyo mgeni we mtafutie chumba haraka ili ahame hapo kwenu,akishakua na kwake then we utakua unamtafuna kwa raha zako.
 
Tehe wanawake hawajiamini kabisa. Mie kuna shemeji yangu hata kuongea nae sentesi mbili siwezi. Nikizidisha tu wife atanuna siku nzima. Akiwepo usiku funguo za room zinafichwa. Nikishtuka tu na yeye anashtuka yaani we acha tu

Kuwa makini mkuu kuna siku atakufunga kamba kitandani
 
''...Yaani ni mzuri ajabu, nyonyo kama embe bolibo ananukia marashi wakati wote..''

Kwa maneno hayo bado unatuhakikishia umma wa Jukwaa hilii kwamba huoni sababu ya mkeo kununa?!
 

Hili si jambo la kuumisha kichwa option ni 2 wala mimi sioni kama kuna ugumu wowote.

1. Siku moja wakati unamchukua huyo dem kwenda naye kituoni au kazini mueleze tu kuwa wife amekuwa na wivu flani sasa ili kuepusha shari bora nikupandishe daladala au ukimaliza shughuli zako nenda kituoni tu moja kwa moja kapande daladala lakin mtake na muombe sana asimueleze wife wako hadi apate pa kukaa mbona ni very simply. huyo dada ni mtu mzima bila shaka anayajuwa hayo mambo yanaweza kutokea.

2. Ongea na wife kwamba yeye ndo amemleta na sasa hakuamini wewe kwa kumpa lift na hana uwezo wa haraka kumpatia nyumba huyo rafki yake wewe utafute sehemu wende ukakae ili mpaka shoga yake atakapopata chumba utarudi nyumbani.

NB: Kama umevutiwa na embe bolibo siku za mbeleni usisahau kumuomba namba yake ya sim.
 
Huyo aliyemleta mwambie amuondoe yeye na asikubabaishe na kama hawezi mwambie aondoke yeye mppk mgeni atakapoondoka ndio hajirudishe. Chuki ya nini maisha yenyewe mafupi na shida haina adabu vilevile shida zinamiguu kuutwa kutembea kwa watu.
 
Ninaishauri familia hii kwamba kaeni pamoja nyumbani mlizungumzie suala hili sebuleni msijemkamteta binti wa watu amabye ninyi mmeshiriki kwa pamoja kumkubalia aje akae kweu kwa mda wa mwezi mmoja, mkianza kumunyima usafiri wa kwenda kazini ghafla mtakosea sana bora msingemkaribisha mapema kubalini akae kwa mda huo tu baada ya hapo atakuwa amepata chumba chake atahama kwa amani ili kesho asijekuwalaumu au kumchukia rafiki yake huyo yaani mkeo..
 



mkeo yupo sahihi....full stop!
 
Toa uhuni wako hapa kwanza umeshamtamani
 
Wanawake huwa wanaumia sana hata kama ukichati na mwanamke mwingine ambaye hakuna mwelekeo wa mahusiano. Hata kama hana sifa ulizozitaja ilimradi ni mwanamke!
Give her a break! Huh
Wanawake wanajua udhaifu wao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…