Hataki kupima lakini anadai bado ananipenda

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
Huyu mwenza wangu tulipima kabla hatujaanza mahusiano, wote tulijikuta tuko salama. Baada ya kugundua kuwa ana mahusiano ya ziada nimemtenga. Ameomba msamaha nimemwambia tukapime tena kabla hatujarudisha mahusiano yetu hataki. Lakini bado anadai ananipenda.
 
Huu msimamo usiulegeze mwanangu!!!!

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
 
Mna mda gani tangu mtengane sio siku 2 tu ka rudi unataka ukapime!!!
Unatwangwa maji kwenye kinu
 
Huyu mwenza wangu tulipima kabla hatujaanza mahusiano, wote tulijikuta tuko salama. Baada ya kugundua kuwa ana mahusiano ya ziada nimemtenga. Ameomba msamaha nimemwambia tukapime tena kabla hatujarudisha mahusiano yetu hataki. Lakini bado anadai ananipenda.
Unamsemea mtu au ni wewe wenyewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena usiishie Hapa tu.
Baki na msimamo wako hivyo hivyo.
Kuna mzee mmoja anasemaga ananipenda, nilimwambia ukitaka kuwa nani kwenye mahusiano twendwe tukapime.
Anakataaaga.
Kwa vile kapenda ,anakazi ya kunihudumia tu. .
Na sitokaa niende nae chobingo kamwe

I'm the queen of my own empire.
 
Huyu mwenza wangu tulipima kabla hatujaanza mahusiano, wote tulijikuta tuko salama. Baada ya kugundua kuwa ana mahusiano ya ziada nimemtenga. Ameomba msamaha nimemwambia tukapime tena kabla hatujarudisha mahusiano yetu hataki. Lakini bado anadai ananipenda.
Nilijua tu babu Asprin hawezi kukuacha salama hahaha anwyz ila dada zetu mna upendo sana, juzi kakuchiti leo anarudi mikono nyuma na unampokea. Endelea tu na maisha yako huyo bwana kama aliweza kutafuta na kupata sababu ya kukusaliti, huko mbele ya safari haitokuwa shida kwake kutafuta sababu za ziada za kurudia tabia zake,kwa mja wa namna hiyo kupima haisadii sana,leo wapima upo salama unaanza kujiamnisha kwake kumbe huku nyuma anaendela kuchoma makaa tu
 
Hakuna kitu cha ajabu kama kurudiana na uliekwisha hachana nae alafu usimlazimishe hawez kufany jambo kwa matakwa yako!
 
Huyu mwenza wangu tulipima kabla hatujaanza mahusiano, wote tulijikuta tuko salama. Baada ya kugundua kuwa ana mahusiano ya ziada nimemtenga. Ameomba msamaha nimemwambia tukapime tena kabla hatujarudisha mahusiano yetu hataki. Lakini bado anadai ananipenda.

Ni kweli anakupenda unajua kinachotokea mara nyingi ni kuwa mpenzi anapokuwa na mahusiano ya ziada kuna kitu "kipya" anakitegemea huko na mara nyingi hukuta wewe uko bora zaidi ya kule kwa ziada. una bahati nzuri kuwa wewe ndie uliegundua hayo mahusiano ya ziada trust me wengine hatugunduliwi ila tunajistukia na kuenda kupima alone bila kukuhusisha. Huyo jamaa ataenda peke yake kupima na huenda ashapima raundi ya kwanza na akiwa fresh atakubali mkapime wote. otherwise usikubali kurudi bila kupima. BTW bado unampenda?
 
Tena usiishie Hapa tu.
Baki na msimamo wako hivyo hivyo.
Kuna mzee mmoja anasemaga ananipenda, nilimwambia ukitaka kuwa nani kwenye mahusiano twendwe tukapime.
Anakataaaga.
Kwa vile kapenda ,anakazi ya kunihudumia tu. .
Na sitokaa niende nae chobingo kamwe

I'm the queen of my own empire.
iko siku utaitwa ukachukulie hela chumbani alafu ndo siku uliyo omba mtaji apo ndo utafurahi sasa
Kwanini ule cha mtu kama huna mpango nae
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom