Hataki kuongea! NIFANYEJE?

Gaijin umenichekesha had nalia kama nakuona mwenyewe leo unavaa red, kesho black ah kwa wa kwangu ingenibidi niwe na dazeni maana unawezahesabu siku ajazo happy!!
 
MJ huyo wako anakatisha tamaa! akka.............si mwisho fishnets zitararuka itabidi uvae chandarua kabisa?

mie zamani nilifikir wanaume huwa hawanuni! aaaa kumbe kuwa uyaone dada..........sasa nimejua kuwa hununa zaidi ya hata wnawake!
 
Fuatilieni kwenye foleni asubuhi utakuta mama kanuna na baba nae kanuna utafikiri wamenyimana unyumba usiku.
 
nikijua tu mood ya wife sio nzuri ntamtoa out, au hata km sina nia ya kununua kitu ntampeleka tu mlimani city ntamwambia kuna kitu nataka kuangalia basi akishaingia mjengoni na ile mandhari mkitoka huko vicheko na furaha tele

MPWA MIE WANGU NAMPELEKA KWENYE KANISA LA KAKOBE NAMWAMBIA MPENZI IPO SIKU MUNGU ATATUPA KANISA KUBWA KAMA HILI MI ASKOFU WE MWEKAHAZINA \YAANI USIKU NI KICHEKO UTASEMA ANA MIMBA YA MIEZI 6......TUJARIBU KUWAJUA WENZETU WALIVYO SI KUWANUNIA TU KISA UNA KIMADA NJE ASBH UNAENDA KUPIGA BRUSH....NO TUBADILIKE JAMANI WAKATI MWINGINE INABIDI UISHI KAMA WAKINA "MASANJA"" TULINDE VI""DOA"" VYETU
 
Wana ndugu mie naeshim haya mambo ya kuchuniana yasikie kwa mwenzio...mi nilioa 2005 nikaachana na mwenzangu 2006 march..jamani shuruba nilizozipata na mwachia allah karim....yani mwezi tu bibie kaingia porin arusha...kazima simu...namtafuta kwa ndugu..wee si mkeo si tutajuaje....
mmmh kurudi namuuliza kulikoni kaamia chumba cha pili jamani jamani msikilize kwa mwenzio haya yasisiskukute.....mwanamke mwezi mzima anaamka anatengeneza chai..anaacha sebuleni anaondoka unasikia tu sauti ya cruiser unajua mwenzangu hayupo...mmhh nikastop na kula kabisa nyumbani nikaona nexty ntawekewa sumu....mwezi wa pili imani ikanishinda nikaondoka na kumwachia kila kitu ...jamani hakukuwa na jinsi niliamua kumrudia MUNGU RASMI....SIKU MOJA nikasimama pale kwenye kona ya ose garden kuangalia watu wanaopita pale kila waliokuwa wanaongea kwenye gari walikuwa ni mtu na hawara zake.....mtu na mkewe ni mnuniano kwenda mbele...jamani huyu nilempata mmmhhh mashallah kama nimemtoa kwa KAKOBE VILE....yaani namwachia MUNGU...ndio maana nawaambia ndugu zanguni msiogope kuwa wakina JOTI KWENYE ndoa kulinda familia zenu akinuna cheka akicheka chekeana....kazi kwenu

WAPWA
 
Hii tushaikataa zamani sana, respect is earned wandugu, and its both ways. the same goes to care and responsibilities especially if you are both working, wanawake sio machine hapo hadi wawe responsible kotekote wakati wanaume wanataka waishi kama wafalme. na vitisho vya kwamba hiyo ndo sababu wanaume wanaenda nje ni blackmail and i refuse to be blackmailed, if a man wants an affair kwa kisingizio hiki, let him have one i couldnt care less.
ndo maana mnaachwa,do u think wakina mama wa zama hizo hawakuwa bize?pengine kuliko nyie.
 
Wana ndugu mie naeshim haya mambo ya kuchuniana yasikie kwa mwenzio...mi nilioa 2005 nikaachana na mwenzangu 2006 march..jamani shuruba nilizozipata na mwachia allah karim....yani mwezi tu bibie kaingia porin arusha...kazima simu...namtafuta kwa ndugu..wee si mkeo si tutajuaje....
mmmh kurudi namuuliza kulikoni kaamia chumba cha pili jamani jamani msikilize kwa mwenzio haya yasisiskukute.....mwanamke mwezi mzima anaamka anatengeneza chai..anaacha sebuleni anaondoka unasikia tu sauti ya cruiser unajua mwenzangu hayupo...mmhh nikastop na kula kabisa nyumbani nikaona nexty ntawekewa sumu....mwezi wa pili imani ikanishinda nikaondoka na kumwachia kila kitu ...jamani hakukuwa na jinsi niliamua kumrudia MUNGU RASMI....SIKU MOJA nikasimama pale kwenye kona ya ose garden kuangalia watu wanaopita pale kila waliokuwa wanaongea kwenye gari walikuwa ni mtu na hawara zake.....mtu na mkewe ni mnuniano kwenda mbele...jamani huyu nilempata mmmhhh mashallah kama nimemtoa kwa KAKOBE VILE....yaani namwachia MUNGU...ndio maana nawaambia ndugu zanguni msiogope kuwa wakina JOTI KWENYE ndoa kulinda familia zenu akinuna cheka akicheka chekeana....kazi kwenu

WAPWA
LOL!! Wanawake nao wana visa kiasi kumbe? Afadhali ulishtuka na kuacha kula angekuwekea suma na leo hii tusingekuwa na wewe hapa JF
Ndio maana mimi na jambo linaitwa NDOA bado tuna distance kubwa tu
Eeh MOLA! Nijalie Mke mwenye hekima na Busara, na mimi pia unipe hekima na busara ya kuishi na mke wangu kwa upendo wa hali ya juu
 
Mpwa hilo ndilo la kuomba.....NDOA ipo pale pale..mpwa nduguyo tuliongea sana hili imani ikazidi uwezo
 
mnuno wa muda mrefu hauna tija.
Kununa huwa kupo lakini kusizidi masaa machache.... hii inatosha kabisa kutoa ujumbe kwa mwenzio.
Baada ya hapo inabidi kujifanya hamna kilichotoea ili muendelee kula maisha.Mnajua ndugu zanguni..maisha ni mafupi mno..kipindi kirefu tuanalala, kilichobaki ukiwa macho furahia maisha...usikitumie kununa.
Hii ni principle yangu and it works perfectly!TRY IT.
 
Wana ndugu mie naeshim haya mambo ya kuchuniana yasikie kwa mwenzio...mi nilioa 2005 nikaachana na mwenzangu 2006 march..jamani shuruba nilizozipata na mwachia allah karim....yani mwezi tu bibie kaingia porin arusha...kazima simu...namtafuta kwa ndugu..wee si mkeo si tutajuaje....
mmmh kurudi namuuliza kulikoni kaamia chumba cha pili jamani jamani msikilize kwa mwenzio haya yasisiskukute.....mwanamke mwezi mzima anaamka anatengeneza chai..anaacha sebuleni anaondoka unasikia tu sauti ya cruiser unajua mwenzangu hayupo...mmhh nikastop na kula kabisa nyumbani nikaona nexty ntawekewa sumu....mwezi wa pili imani ikanishinda nikaondoka na kumwachia kila kitu ...jamani hakukuwa na jinsi niliamua kumrudia MUNGU RASMI....SIKU MOJA nikasimama pale kwenye kona ya ose garden kuangalia watu wanaopita pale kila waliokuwa wanaongea kwenye gari walikuwa ni mtu na hawara zake.....mtu na mkewe ni mnuniano kwenda mbele...jamani huyu nilempata mmmhhh mashallah kama nimemtoa kwa KAKOBE VILE....yaani namwachia MUNGU...ndio maana nawaambia ndugu zanguni msiogope kuwa wakina JOTI KWENYE ndoa kulinda familia zenu akinuna cheka akicheka chekeana....kazi kwenu

WAPWA

Mkuu Pdiddy, je, ulijuaje kama ni mtu na mkewe au na hawara yake? Uliwauliza? Wewe ulikuwa umesimama nje na wao wanapita ndani ya magari ulipataje uhakika wa hili? Natanguliza shukrani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom