Wewe si unashughuli zinazokuletea mkate? Mbona unaweza kupata muda wa kumfikiria. Au waje wenye PhD ya mapenzi wakueleze vizuri?hapo ndo nashindwa kuelewa inakuwaje matakwa yangu hayapi kipaumbele?? ni kweli sina umuhim kwake???
kama vipi tumia furusa ,akifata anavyo vitaka unamwambia muongee na mambo yenu kabsakiukwel nipo njia panda mkuu, cjui uelekeo wangu ni upi.
Mkono Mtupu haulambwibila shaka mko poa wakuu.
ni miezi kadhaa imepita tangu nilivoanzisha mahusiano na girlfriend wangu, ila kuna jambo limekuwa linaniumiza kichwa na kushindwa kuelewa nifanye nini.
Kila ninapohitaji kuonana nae ili nibadilishane nae mawazo ananipa vikwazo vingi. mara nimechoka, sina muda nina kazi nyingi n.k.
ila anapohitaji kitu nikimwambia njoo tuonane anakuja haraka.
naombeni ushauri wenu pls
Mkono umelambwa bure bure sasa bila hata kafadhilaMkono Mtupu haulambwi