Hataki kukubali matokeo

Hivi vitoto vya fb vinatafuta nini humu?kweli umeshindwa lakifanya kabisa mpaka uje usumbue wazee humu??subiria wenzio wazime mwenge watakuja
 
Hivi vitoto vya fb vinatafuta nini humu?kweli umeshindwa lakifanya kabisa mpaka uje usumbue wazee humu??subiria wenzio wazime mwenge watakuja

Mimi na wewe nan mtoto una bahati mtihani wa form two umefutw sidhan kama kidato cha tatu ungekiona
 
Mbona sioni kosa la kukufanya umchukie kiasi cha kumwacha? Kama huna sababu zingine za msingi za kmwacha huyo mwanamke, nakushauri utulie nae.
 
Angalia icjekuwa unatema bigG kwa karanga za kuonjeshwa, mwaka mzima leo ndio ujue mbishi kuwa serious bas
 
Angalia icjekuwa unatema bigG kwa karanga za kuonjeshwa, mwaka mzima leo ndio ujue mbishi kuwa serious bas

Mkuu watu wanaishi miaka kadhaa ije iwe haka kamwaka tu mi naona ilikuwa time ya kusomana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…