jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,370
Hebu mpe kisu kwanza!
Kujiua ni rahisi sana, hata mimi niliwahi!
Nigawie mimi mkuu sina demu na isitoshe mke mwema hutoka kwa bwana na huyo kwa kua atatoka kwako atanifaa mkuu ila awe na japo kachura kanakorukaruka kiaina
interesting..
Hahahahahah we jamaa [emoji377] ya leo haikutolewa mbegu sawasawa eee?Hebu mpe kisu kwanza!
Kujiua ni rahisi sana, hata mimi niliwahi!
Mwombe tiGO... akikupa basi ujue hilo ni zigo lako la kufa na kuzikanaWakuu wasalaam
Sitaki kutoa maelezo mengi saana nikachosa watu bure straight to the point iko hv;
Nilikuwa katika mahusiano na msichana mmoja nimekuwa nae takribani mwaka sasa
Sipingi kama ananipenda ila sasa shida yake ni mbishi yaan haelewi m ninachomwambia na wala hanisikilizi
Nilikuwa nikimwambia mambo mengi sana ananikubalia usoni lakin baadae anafanya tofauti then likimgeukia anarud kwangu kuniomba ushauri
Sasa nmejaribu mara kadhaa kumfanyia visa aniache yeye ila imeshindikana
Miez kadhaa iliyopita nilianzisha relation na mtu mwingine bahati mbaya siku moja nipo na huyu wa siku zote akakagua simu na kukuta mawasiliano ya huyu mpya akampigia na wakafahamiana kama wanashare
Sasa mm kukata mziz wa fitina nikaamua kumuacha huyu wa siku zote kwa sababu tayar shajaribu aniache yeye ikashindikana
Nilimwambia tu ukweli kwamba tuachane kwa amani ila sasa hataki yaan mpaka anatishia kujiua
Hii inanipa wakati mgumu mpaka kesho
Wajuz hebu nipeni ujanja nimwache vip huyu mtu
Mkuu nipe hivyo hivyo nachukua jumla na mazao yaliyomo shambani kiroho safi itakua ya moto band haswa.Kweli mzee ila tatzo hataki mwingine na isitoshe nilimjaza sasa wakati namtamkia ka tuachane nilikuwa sijui ka ni mjamzito
hivi mtu anakutishia kujiua na wewe unatishika? mwambie atangulie...
Mwombe tiGO... akikupa basi ujue hilo ni zigo lako la kufa na kuzikana
Bado anaishi kwao mkuu na pesa simpi ila vile vitisho vinaniogofyaWw acha kutoa hela ya matumizi yy mwenyewe atasepa.
Mkuu nipe hivyo hivyo nachukua jumla na mazao yaliyomo shambani kiroho safi itakua ya moto band haswa.
Unataka umwache huku tayar nimjamzito ....yaan nyie vijanaume basi tu lakini Mungu anawaona