The Hidden
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 246
- 102
Asa benji ndo inatunza pesa mzee, afu hii yote ni kama hamuaminiani "UPENDO KUVUMILIANA UPENDO KUAMINIANA " Hayo ni maneno ya bible mzeeUmtunzie pesa we Benji,acha atunze pesa take mwenyewe kwani we mumewe?jibu ni LA hasha,unataka hakuamin kwa kipato chake?haipo hyo
Umtunzie pesa we Benji,acha atunze pesa take mwenyewe kwani we mumewe?jibu ni LA hasha,unataka hakuamin kwa kipato chake?haipo hyo
Na yeye anataka nimfungulie salon ambayo ni zaidi ya milion na nimekubali, sasa kama yeye haniamini mi nimekuwa mjinga kukubali ombi lake?Umtunzie pesa we Benji,acha atunze pesa take mwenyewe kwani we mumewe?jibu ni LA hasha,unataka hakuamin kwa kipato chake?haipo hyo
Kwel changamoto hiyo ipo,ila kwann msiweke akiba bank tuu ata fixed accnt,kuna watu unakuta kwel anania lkn hajui nidhamu ya PESA.Habari wanaJF!? Natumai mko poa.
Inatokea mnaweka pamoja mipango kadhaa ya maendeleo na binti unayetarajia kumuoa, ili kutimiza mipango hiyo unatoa robo tatu ya mtaji nayeye anatoa robo tu, mnakubaliana pesa ya matumizi itatokana na hii biashara na hiyo ya mshahara(ambao ni sawa)kila mmoja atachukua kiasi kadhaa tu nyingine yote itunzwe hadi wakati fulani tutakapo itumia kufanya shughuli fulani ...anakubali, tatizo unakuja kugundua kuwa si mtunzaji mzuri wa fedha unaamua kumwambia "pesa ya mshahara inayotakiwa kutunzwa amishiaga kwangu kwa sababu hizo" linakuja tatizo kwamba hataki kufanya hivyo, hapa tatizo liko wapi wadau au kuna makosa kumwambia hivyo mpenzi wako!?
Bible IPO wazi kuaminiana katika ndoa sio uhuni uhuni tu.hapo ni benki mkuuAsa benji ndo inatunza pesa mzee, afu hii yote ni kama hamuaminiani "UPENDO KUVUMILIANA UPENDO KUAMINIANA " Hayo ni maneno ya bible mzee
Wajinga ndio waliwao m sorry to tell you this hamna namna na huyo mwenzako ana plan b..Na yeye anataka nimfungulie salon ambayo ni zaidi ya milion na nimekubali, sasa kama yeye haniamini mi nimekuwa mjinga kukubali ombi lake?
Ana mchumba binti mkuu wala usisumbuke sana.Sasa kama lugha zenu zinaanza kugongana kwenye uchumba huko kwenye ndoa unahisi kutakua na Amani?
Mbona wengi tunawaona tu wanasaidiana? asa kuna faida gani ya kuoa mfanya kazi ni heri asiye na kazi basi umpe biashara akusaidieMwanamke ni mtu wa kitimiziwa tu, ukitaka ajitimizie au akusaidie kumtimizia, mziki utaucheza! Ukimtimizia mahitaji yake mahusiano utayaona mazuri. Hata kama utakuwa unakwama kwama sehemu Fulani Fulani, lakini wewe ndiyo ubebe jukumu la kumtimizia.
Habari wanaJF!? Natumai mko poa.
Inatokea mnaweka pamoja mipango kadhaa ya maendeleo na binti unayetarajia kumuoa, ili kutimiza mipango hiyo unatoa robo tatu ya mtaji nayeye anatoa robo tu, mnakubaliana pesa ya matumizi itatokana na hii biashara na hiyo ya mshahara(ambao ni sawa)kila mmoja atachukua kiasi kadhaa tu nyingine yote itunzwe hadi wakati fulani tutakapo itumia kufanya shughuli fulani ...anakubali, tatizo unakuja kugundua kuwa si mtunzaji mzuri wa fedha unaamua kumwambia "pesa ya mshahara inayotakiwa kutunzwa amishiaga kwangu kwa sababu hizo" linakuja tatizo kwamba hataki kufanya hivyo, hapa tatizo liko wapi wadau au kuna makosa kumwambia hivyo mpenzi wako!?
Hawasaidiani, Mwanaume anasaidiwa. Ingekuwa wanasaidiana ungeona na Mwanaume anafua, anapika, anapiga deki. Na hiyo kitu unayoiita kusaidiana, ndiyo inayowavimbisha kichwa wanawake na kusababisha vurugu ndani ya ndoa.Mbona wengi tunawaona tu wanasaidiana? asa kuna faida gani ya kuoa mfanya kazi ni heri asiye na kazi basi umpe biashara akusaidie