Hataki kuambiwa ukweli kwamba anasafiri sana?

Hataki kuambiwa ukweli kwamba anasafiri sana?

Ndio akili yenu imeishia hapo? Rais wa china katembea karibu nchi zote duniani, umewahi kumsikia akiongea English? Rais wa russia je? Chancellor wa Germany?

Nyie watoto, muwe mnajifunza usiandike ili mradi unataka kuandika, jaribuni kushirikisha ubongo.
Achana na hao Wavulana Kaka
 
Ndio akili yenu imeishia hapo? Rais wa china katembea karibu nchi zote duniani, umewahi kumsikia akiongea English? Rais wa russia je? Chancellor wa Germany?

Nyie watoto, muwe mnajifunza usiandike ili mradi unataka kuandika, jaribuni kushirikisha ubongo.
Watakuambia China,ujerumani nchi zao matajiri ndomana viongozi wao
Wanatumia lugha zao

Ova
 
Naona ameanza Kuwa na Kibesi.

Amekuwa akisafiri sana na anadai kwamba safari zake za nje ya Nchi Ndizo Zinazoleta Fedha za Kujenga Miradi Kwenye Mikoa.

Kwa Nini Ang'ake Sana Na Kuita Watu Wanaomwambia Anasafiri Sana Eti Hawana Akili Ya Kawaida.

Katika Awamu ambayo Watu Wanapiga Hela Ni Awamu Hii, Watu Wamekuwa Na Kiburi, Huduma za Kijamii zimedorora.

Erick Kakomba 2bn Hapo Bandari za Wachina Kaja juu Kamwondosha Wakati Yeye ndio aliwaambia Wale Kwa Urefu Wa Kamba Yao.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkuu sauti za wenye akili zimempara kooni chifu Hangaya
 
LNG ni nini mkuu?
Kirefu chake ni Liquified Natural Gas. Gasi asilia inayosafirishwa katika mfumo wa liquid kabla irudishwe kuwa gas kwa ajili ya mtumiaji wa mwisho.
 
Anajinasibu eti Miradi yote ya mtangulizi wake anaiendekeza, Kuna Mradi Wa ujenzi Wa barabara Hapa Dom ulikuwa ni Kwa Ajili ya maroli, amegoma Kuendelea Watu wamefuta X Kwenye Nyumba zao
Mbona unajijibu mwenyewe?
 
Mradi pendwa wa awamu mpya unaohitaji mapesa mengi ili kuukamilisha, ndio wameona wasiendelee kupoteza pesa kule Nyerere Dam.
Kwa ufahamu wangu, hiyo dola billion 30 ya kujenga hiyo LNG plant na mambo mengine. Inatoka kwa hao wawekezaji wa nje! Tanzania uwekezaji wetu ni ardhi na ilo eneo la gesi.
 
Bado mpo! Wafuasi wa matendo ya mwendazake. Kila mtu ana hulka yake.

Jiwe hali yake ya afya na udhaifu katika kuongea English kulimzuia kusafiri
Wachina wanasafiri kila sehemu.

Na English hawajui.

Kila mtu anachagua aina ya maisha anayotaka.

Pesa ya safari za nje ni nyingi mno. Akisafiri tu Rais ujue katumia pesa ya majengo ya shule ya msingi mpya.

Harafu kwa nini anaenda yeye tu na wao hawaji?.

Wakati wa mwenda zake wao ndio walikuja kwa wingi.
 
Naona ameanza Kuwa na Kibesi.

Amekuwa akisafiri sana na anadai kwamba safari zake za nje ya Nchi Ndizo Zinazoleta Fedha za Kujenga Miradi Kwenye Mikoa.

Kwa Nini Ang'ake Sana Na Kuita Watu Wanaomwambia Anasafiri Sana Eti Hawana Akili Ya Kawaida.

Katika Awamu ambayo Watu Wanapiga Hela Ni Awamu Hii, Watu Wamekuwa Na Kiburi, Huduma za Kijamii zimedorora.

Erick Kakomba 2bn Hapo Bandari za Wachina Kaja juu Kamwondosha Wakati Yeye ndio aliwaambia Wale Kwa Urefu Wa Kamba Yao.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ameshanogewa.
 
Wachina wanasafiri kila sehemu.

Na English hawajui.

Kila mtu anachagua aina ya maisha anayotaka.

Pesa ya safari za nje ni nyingi mno. Akisafiri tu Rais ujue katumia pesa ya majengo ya shule ya msingi mpya.

Harafu kwa nini anaenda yeye tu na wao hawaji?.

Wakati wa mwenda zake wao ndio walikuja kwa wingi.
Kabisa
 
nimemkubali Vasco da Gama just "nusu" amenikosha sana kwa SGR deal nimesikia raha kwakweli ila sikusikia kabisa akisema kuhusu Nyerere Dam na hawa ni kurwa na doto. why?

Bimkubwa atafeli sana bila Nyerere Dam kukamilika haraka. Majizi ya nchi hii hayataki hizo miradi miwili na ndio injini ya uchumi wa viwanda wa hayati Magufuli

Hivi hawa viongozi hawamuogopi Mungu? hawaamini kuwa watadedi na kuna moto ambao wao ndio watatangulizwa then tufuate sisi maana raia ni maskini kodi zao zinanunua magari ya serikali badala ya dawa za kuwatibu.

Ukuaji wa uchumi wetu Tanzania umeshuka sana na kudorora kabisa kutoka 7 hadi 4 ni mbaya sana siasa zimezidi utendaji zero tumeachwa mbali mno na Rwanda, Eritrea, Kenya, Ethiopia na Zimbabwe, hivi hizo nchi zina nini cha ajabu kuizidi Tanzania zaidi ya ukame tu? Je Marais wake wanasafiri nje kufungua nchi kwa spidi kama yake? soma data hapa chini.

Bimkubwa has to do something kwa watendaji wake!! Aongeze ukali asiishie bandarini asafishe na cabinet! Awape mawaziri wote targets na performance indicators na time frame mpya anaeshindwa amtoe haraka maana watamuangusha! Awaambie waache kumsifia wafanye kazi!

Binafsi nitafurahi akiwin zaidi ya sasa naamini Bimkubwa yuko vizuri sana upstairs but she has to use all her intelligence. I believe she can do better akiamua liwalo na liwe na kutowaonea huruma wasaidizi wake!

Umeandika vyema sana ndugu Zuga ,umeharibu tu pale kwenye mstari wa pili wa aya ya mwisho.
 
Mama inawezekana ana malengo mazuri sema hao anawachagua ndio ukute wanamuangusha,,,ila sijui kama wananchi wataelewa ikifika 2025 na miradi haijakamilika ukijumlisha hizi tozo + kodi + gharama za maisha kupanda sana….!
 
Mradi pendwa wa awamu mpya unaohitaji mapesa mengi ili kuukamilisha, ndio wameona wasiendelee kupoteza pesa kule Nyerere Dam.
Acha upotoshaji, kwa mradi wa bwawa la Nyerere ulipofikia na gharama zilizokwisha tumika ni vigumu kuutelekeza,utakamilishwa tu.
 
Back
Top Bottom