Alexism JF-Expert Member Joined Aug 14, 2011 Posts 3,423 Reaction score 2,046 Nov 1, 2011 #1 Nilimwabia nichomeke akakataa, nikamwambia achomeke yeye akakataa, nikachomeka mimi akachomoa, mh nikasubiri usingizi umshike nichomeke wakati ninachomeka akanishika mikono na akasema nisichomeke. Duh huyu Amina hajui umuhimu wa net ya mbu.
Nilimwabia nichomeke akakataa, nikamwambia achomeke yeye akakataa, nikachomeka mimi akachomoa, mh nikasubiri usingizi umshike nichomeke wakati ninachomeka akanishika mikono na akasema nisichomeke. Duh huyu Amina hajui umuhimu wa net ya mbu.
arabianfalcon JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 2,285 Reaction score 585 Nov 1, 2011 #2 Hajui ebu muelimishe mwenzio.........lol
Mzee wa Rula JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 8,169 Reaction score 3,359 Nov 1, 2011 #3 Alexism said: Nilimwabia nichomeke akakataa, nikamwambia achomeke yeye akakataa, nikachomeka mimi akachomoa, mh nikasubiri usingizi umshike nichomeke wakati ninachomeka akanishika mikono na akasema nisichomeke. Duh huyu Amina hajui umuhimu wa net ya mbu. Click to expand... Kwa hiyo uling'atwa na mbu usiku kucha kisa bwana shem kagoma uchomeke?
Alexism said: Nilimwabia nichomeke akakataa, nikamwambia achomeke yeye akakataa, nikachomeka mimi akachomoa, mh nikasubiri usingizi umshike nichomeke wakati ninachomeka akanishika mikono na akasema nisichomeke. Duh huyu Amina hajui umuhimu wa net ya mbu. Click to expand... Kwa hiyo uling'atwa na mbu usiku kucha kisa bwana shem kagoma uchomeke?
ZeMangi JF-Expert Member Joined Oct 21, 2011 Posts 436 Reaction score 33 Nov 1, 2011 #4 Ulivyoanza duh! Mh nikafikri mixas, hadi nikavurumisha....
HorsePower JF-Expert Member Joined Aug 22, 2008 Posts 3,612 Reaction score 2,569 Nov 1, 2011 #5 Mkuu si ungepuliza dawa ya mbu kurahisisha kazi? Mtaviziana mpaka lini kwa zoezi la kuchomeka na kuchomoa?
Mkuu si ungepuliza dawa ya mbu kurahisisha kazi? Mtaviziana mpaka lini kwa zoezi la kuchomeka na kuchomoa?
The only JF-Expert Member Joined May 19, 2011 Posts 11,131 Reaction score 14,636 Nov 2, 2011 #6 Hahaha nikajua anataka (neno baya)