Hata wewe inaweza kukutokea

Hata wewe inaweza kukutokea

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,210
Reaction score
829,208
Kilicho trend last week ni ishu ya aliyekuwa mwenyekiti wa CUF Prof Ibrahim Haruna Lipumba kutengua uamuzi wake wa kujiuzulu nafasi hiyo na kupata msaada wa dola kwenda kuvunja makufuli ya iliyokuwa ofisi yake ya chama na kuamua kuishi hapo usiku na mchana huku akiwa na walinzi lukuki
Hili lilitanguliwa na viongozi wenzake kumtuhumu kwa uwazi kabisa kuwa katumwa na chama tawala kuivuruga CUF huku wakiweka wazi kiasi alichopewa na vitu alivyonunua.

Post hazikuwa haba hapa jukwaani na kwengineko za kumkosoa kumtusi kumkashifu na kukubaliana naye zote zilikuwepo, kwa ufupi tunaweza kuuita WIKI YA LIPUMBA, kwakuwa hata ishu ya waziri mkuu kuhamia Dodoma haikuwa habari kivile.

Wote kwa ujumla wetu tulobebwa na jina Lipumba na yale aliyoyafanya...! Akibezwa mpaka kiwango chake cha elimu na jinsi alivyodhalilisha nafasi ta uprofesa

Mimi nachukua nafasi hii kuwa na mtazamo tofauti kidogo.

Kwanza ni ukweli usiopingika kuwa Lipumba ni msomi mchumi aliyefanya mengi kuliko wengi wetu kitaifa na hata kimataifa, anatambulika na kufahamika kwenye mengi.

Kilichomtokea yeye si bahati mbaya bali ni mipango ya muda mrefu iliyosukwa kwa ustadi na ushawishi mkubwa...hapo ahadi ya pesa nyingi ulinzi na hata cheo vilitumika sana.

Nani asiyependa ulinzi wa dola wa kipekee kutoka kitengo?

Nani asiyependa cheo na nafasi serikalini?

Nani asiyependa pesa nyingi zisizo za kuhangaikia sana? Hata mwendawazimu anajua hii ni pesa asiitupe.

Inahitaji moyo mgumu wenye uthubutu wa kipekee kuweza kuruka viunzi vya ushawishi wa namna hii.

Kitengo kilipewa special task ya kusambaratika muunganiko fulani. hapo waliangaliwa nani ambao wana ushawishi lakini ambao wanaweza kulainika kama shekeli nk vikitumika, list ilikuwa ndefu..tumeona yaliyotokea. Prof naye alikuwa mmojawapo.

Pesa ya kitengo ni nyingi ni tamu na haikatwi kodi na unapewa yote kwa mpigo kama ni kwa istallment haziwezi kuzidi mbili...halafu haina kelele
Wajanja wanapoichukia ile pesa na kufanya kazi ya awali hukimbia nchi kwakuwa ukibaki, itabidi uendelee kuitumikia ile pesa ya watu kwa matakwa ya waliokulipa.

Hapa ndio penye shida kubwa

Hapa ndio watu hufanya mambo tofauti na kawaida

Hapa ndio watu huweka taaluma pembeni na kukubali kutumika

Hapa ndio utu heshima na hekima ya mtu hugoma na kugota kufanya kazi bali kupokea maagizo kutoka gizani, maagizo yasiyohojiwa.

Lipumba yuko kwenye mtanziko huo kwasasa na hana jinsi bali kutii

Tumbeze kumdhihaki na kumcheka lakini hata kama ni wewe ungekuwa kama prof Ibrahim Haruna Lipumba
 
polofesa,hawa ndio wanakatisha tamaa.vijana kufikia ngazi hiyo. Anaogelea kwenye lindi la aibu kubwa kabisa kuliko hata aliyoipata mrema,mrema alikuwa makini,alitoka ccm akaenda nccr,walishindana,akahamia TLP,hakulazimisha kurudi nccr
nadhani mrema ana uwezo wa akili na mipango kuliko MTU YULE,
kama ana kazi hii,alaumiwe aliyempa,he failed from the start kwa kura za UKAWA kufika milioni 6,proof kwamba hana impact yoyote.

Labda kama alivyosema mtoa mada,aliyemlipa bado anadai hajacheza muziki kadri ya makubaliano ambayo ni kuivunja UKAWA,
 
hahahahahahahahahahahahahahaha 😀 (bold + color)
 
wapinzani wote wapo kwenye malipo toka kitengo ndo maana hawaeleweki

wapinzani wote hakuna mwenye msimamo mbele ya mkwanja, yu wapi msigwa, lema,mbowe, wote wamegeuka vipaza sauti vya watu flani.

lipumba kalamba mkwanja wa watu (kama kweli) lazima atumike, kama wanavyo tumika walio lamba mkwanjwa wa eddo
 
Kilicho trend last week ni ishu ya aliyekuwa mwenyekiti wa CUF Prof Ibrahim Haruna Lipumba kutengua uamuzi wake wa kujiuzulu nafasi hiyo na kupata msaada wa dola kwenda kuvunja makufuli ya iliyokuwa ofisi yake ya chama na kuamua kuishi hapo usiku na mchana huku akiwa na walinzi lukuki
Hili lilitanguliwa na viongozi wenzake kumtuhumu kwa uwazi kabisa kuwa katumwa na chama tawala kuivuruga CUF huku wakiweka wazi kiasi alichopewa na vitu alivyonunua.

Post hazikuwa haba hapa jukwaani na kwengineko za kumkosoa kumtusi kumkashifu na kukubaliana naye zote zilikuwepo, kwa ufupi tunaweza kuuita WIKI YA LIPUMBA, kwakuwa hata ishu ya waziri mkuu kuhamia Dodoma haikuwa habari kivile.

Wote kwa ujumla wetu tulobebwa na jina Lipumba na yale aliyoyafanya...! Akibezwa mpaka kiwango chake cha elimu na jinsi alivyodhalilisha nafasi ta uprofesa

Mimi nachukua nafasi hii kuwa na mtazamo tofauti kidogo.

Kwanza ni ukweli usiopingika kuwa Lipumba ni msomi mchumi aliyefanya mengi kuliko wengi wetu kitaifa na hata kimataifa, anatambulika na kufahamika kwenye mengi.

Kilichomtokea yeye si bahati mbaya bali ni mipango ya muda mrefu iliyosukwa kwa ustadi na ushawishi mkubwa...hapo ahadi ya pesa nyingi ulinzi na hata cheo vilitumika sana.

Nani asiyependa ulinzi wa dola wa kipekee kutoka kitengo?

Nani asiyependa cheo na nafasi serikalini?

Nani asiyependa pesa nyingi zisizo za kuhangaikia sana? Hata mwendawazimu anajua hii ni pesa asiitupe.

Inahitaji moyo mgumu wenye uthubutu wa kipekee kuweza kuruka viunzi vya ushawishi wa namna hii.

Kitengo kilipewa special task ya kusambaratika muunganiko fulani. hapo waliangaliwa nani ambao wana ushawishi lakini ambao wanaweza kulainika kama shekeli nk vikitumika, list ilikuwa ndefu..tumeona yaliyotokea. Prof naye alikuwa mmojawapo.

Pesa ya kitengo ni nyingi ni tamu na haikatwi kodi na unapewa yote kwa mpigo kama ni kwa istallment haziwezi kuzidi mbili...halafu haina kelele
Wajanja wanapoichukia ile pesa na kufanya kazi ya awali hukimbia nchi kwakuwa ukibaki, itabidi uendelee kuitumikia ile pesa ya watu kwa matakwa ya waliokulipa.

Hapa ndio penye shida kubwa

Hapa ndio watu hufanya mambo tofauti na kawaida

Hapa ndio watu huweka taaluma pembeni na kukubali kutumika

Hapa ndio utu heshima na hekima ya mtu hugoma na kugota kufanya kazi bali kupokea maagizo kutoka gizani, maagizo yasiyohojiwa.

Lipumba yuko kwenye mtanziko huo kwasasa na hana jinsi bali kutii

Tumbeze kumdhihaki na kumcheka lakini hata kama ni wewe ungekuwa kama prof Ibrahim Haruna Lipumba
Kweli rushwa hupofusha macho
 
Lipumba, na Dr Pisto, na tozi bweka,lao ni moja walikula mlungula, sasa wanatamani kurudi kundini, ila lipumba sio mapenzi yake ni mapenzi ya chama changu ya Ammbodier!
 
Mshana bana kwanini usimsitir Prof while unajuwa hata mamvi,sawasawa, mzee wa ukuta nk wapo pia kwenye list au..... Mungu anawaona mnao msema vibaya Prof wakati tipo wengi
 
Ni ukweli usiopingika kuwa anachofanya'' Bwana yule'' si hiari yake ila kakubali kuwa mtumwa hana jinsi,chezea kitu ingine ila sio mkwanja na kwa usawa huu acha kabisaa.
 
Kilicho trend last week ni ishu ya aliyekuwa mwenyekiti wa CUF Prof Ibrahim Haruna Lipumba kutengua uamuzi wake wa kujiuzulu nafasi hiyo na kupata msaada wa dola kwenda kuvunja makufuli ya iliyokuwa ofisi yake ya chama na kuamua kuishi hapo usiku na mchana huku akiwa na walinzi lukuki
Hili lilitanguliwa na viongozi wenzake kumtuhumu kwa uwazi kabisa kuwa katumwa na chama tawala kuivuruga CUF huku wakiweka wazi kiasi alichopewa na vitu alivyonunua.

Post hazikuwa haba hapa jukwaani na kwengineko za kumkosoa kumtusi kumkashifu na kukubaliana naye zote zilikuwepo, kwa ufupi tunaweza kuuita WIKI YA LIPUMBA, kwakuwa hata ishu ya waziri mkuu kuhamia Dodoma haikuwa habari kivile.

Wote kwa ujumla wetu tulobebwa na jina Lipumba na yale aliyoyafanya...! Akibezwa mpaka kiwango chake cha elimu na jinsi alivyodhalilisha nafasi ta uprofesa

Mimi nachukua nafasi hii kuwa na mtazamo tofauti kidogo.

Kwanza ni ukweli usiopingika kuwa Lipumba ni msomi mchumi aliyefanya mengi kuliko wengi wetu kitaifa na hata kimataifa, anatambulika na kufahamika kwenye mengi.

Kilichomtokea yeye si bahati mbaya bali ni mipango ya muda mrefu iliyosukwa kwa ustadi na ushawishi mkubwa...hapo ahadi ya pesa nyingi ulinzi na hata cheo vilitumika sana.

Nani asiyependa ulinzi wa dola wa kipekee kutoka kitengo?

Nani asiyependa cheo na nafasi serikalini?

Nani asiyependa pesa nyingi zisizo za kuhangaikia sana? Hata mwendawazimu anajua hii ni pesa asiitupe.

Inahitaji moyo mgumu wenye uthubutu wa kipekee kuweza kuruka viunzi vya ushawishi wa namna hii.

Kitengo kilipewa special task ya kusambaratika muunganiko fulani. hapo waliangaliwa nani ambao wana ushawishi lakini ambao wanaweza kulainika kama shekeli nk vikitumika, list ilikuwa ndefu..tumeona yaliyotokea. Prof naye alikuwa mmojawapo.

Pesa ya kitengo ni nyingi ni tamu na haikatwi kodi na unapewa yote kwa mpigo kama ni kwa istallment haziwezi kuzidi mbili...halafu haina kelele
Wajanja wanapoichukia ile pesa na kufanya kazi ya awali hukimbia nchi kwakuwa ukibaki, itabidi uendelee kuitumikia ile pesa ya watu kwa matakwa ya waliokulipa.

Hapa ndio penye shida kubwa

Hapa ndio watu hufanya mambo tofauti na kawaida

Hapa ndio watu huweka taaluma pembeni na kukubali kutumika

Hapa ndio utu heshima na hekima ya mtu hugoma na kugota kufanya kazi bali kupokea maagizo kutoka gizani, maagizo yasiyohojiwa.

Lipumba yuko kwenye mtanziko huo kwasasa na hana jinsi bali kutii

Tumbeze kumdhihaki na kumcheka lakini hata kama ni wewe ungekuwa kama prof Ibrahim Haruna Lipumba
Kwa maelezo yako kama si uzushi, naamini utatusaidia kuthibitisha ukweli huu dhidi ya mlungula Wa kitengo alio pewa Lipumba Kwa kazi ulioitaja.
Remember cyber crime, if no proof beyond doubts against your words
 
Ni kweli mchango wa Prof. Lipumba kama msomi kitaifa na kimataifa ni mkubwa. Na tofauti na wasomi wengine ambao "huning'iniza" taaluma zao ukutani pindi wanapoingia kwenye siasa, Pro. Lipumba ameendelea kuwa mwanataaluma "active" katika kutoa machapisho na makala za kisomi. Kwa upande mwingine, maisha ya kisiasa ya Pro. Lipumba yako "complex" na si sahihi hata kidogo kumchukulia kama mwanasiasa mwepesi (yaani asiye na itikadi) wa kurubuniwa kwa kupewa "vipande thelathini za fedha" na CCM. Kuna post katika uzi unaoendelea humu ambao umeanzishwa na mwanaJF barafu yenye maneno: "...mwaka 1995 Pro. Lipumba alishawishiwa na 'marafiki' zake aingie kwenye siasa baada ya kifo cha Pro. Kighoma Malima". Hivyo kuna uwezekano Lipumba anaongoza vuguvugu la kiasiasa lilianzishwa na Malima na ambalo kiitikadi na kimtazamo haliendani na malengo ya Ukawa. (Siasa za kweli zinapaswa kuwa na misingi ya kiitikadi ambayo uhakikisha chama cha siasa kina political base). Hapa CCM wamedandia tu treni ambayo hata hawajui inakokwenda!
 
Back
Top Bottom