Hata wanawake wanafahamu ni kweli saa nyingine...!!

Hata wanawake wanafahamu ni kweli saa nyingine...!!

In the song Bob speaks about Trench town, na hii ni ghetto ya mji wa kingstone Jamaica ambapo Bob alikulia. And the song is sung "No woman nuh cry" and the nuh ni sawa na dont.

Hamna bwanaa mbona kwenye official lyrics za huo wimbo sijaona neno nuh ambalo kwa kutamka angelitaja kama
/na:h/
Mi navyojua ni 'no woman no cry '
 
Hamna bwanaa mbona kwenye official lyrics za huo wimbo sijaona neno nuh ambalo kwa kutamka angelitaja kama
/na:h/
Mi navyojua ni 'no woman no cry '
Its just that am using my kasimu, ningeweka link when you have time just google bob's life history
 
.
Zingatia "no woman" -hakuna mwanamke
.
.
"No cry" - hakuna kulia.[/QUOTE]

Hii ni tafsiri sisisi!
 
Guys, mi mbona nimeuelewa kama pasipo mwanamke, hakuna kulia....
yani kama asingekuwa mwanamke, machozi yasingekuwepo


''Hakuna mwanamke hakuna mtoto'' cry iliyotumika hapo inamaanisha mtoto a.k.a baby
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom