Hata wanawake wa kwenye Ndoa nao wanatoa Biriani

Hata wanawake wa kwenye Ndoa nao wanatoa Biriani

Kwenye huu uchafu wa kulaumiwa ni wanaume kwa sababu ndiyo huwa wanawaanza wanawake,wanawake ni viumbe dhaifu na wanaume huwa wanatake advantage ya hilo!.....Wanawake pepo yao ipo ila kwa wanaume NO!
Kama wewe mzee wa chura unasalimika kweli huko kwenye biriani[emoji848][emoji87]
 
TZ ya kinafki sana, eti mtoa mada ni mmbeya, kwanini wewe mchangiaji hoja uingie kwenye nyuzi zisizokuhusu[emoji848][emoji57]
 
....Daaah,aliyeanzzisha ili neno BIRIANI yaaani ana haramisha vilivyo halalishwa na kinyume chake ni zambi kubwa sana,yaani BIRIANI chakula cha siku ya furaha tena kinaliwa kiibada unafanisha KINYEO kinaachopitisha najisi....ungekuwa karibu yangu ningekupa KERBU ya sikio moja tuu...
 
Back
Top Bottom