Savage Dad
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 1,388
- 2,611
Oohnazeeka vibaya sasa
Mimi Serikali ya CCM ilichonifanya leo ngoja nilie nimegida beer zimegoma
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Duh imekuwaje tenaMimi Serikali ya CCM ilichonifanya leo ngoja nilie nimegida beer zimegoma
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Mimbuzi kuna shamba langu wanataka kunyanga'anya Uzi huu hapa mkuuDuh imekuwaje tena
Pole sana mkuu hii ishu ilifikia wapi?Mimbuzi kuna shamba langu wanataka kunyanga'anya Uzi huu hapa mkuu
2025 Nachagua Andazi, CCM Imenishinda
Wanabodi ngoja leo nideclare interest mnajua Mimi ni CCM Damu yani ukichanja damu yangu ni CCM tu. Lakini sasa CCM wamegusa maslai yangu tena inaniumaSana nilikuwa Tu nasikia Kwa watu unaweza ukadhulumiwa haki yako. Miaka ya nyuma nilinunua mashamba sehemu cha ajabu na...www.jamiiforums.com
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Hapa alilia bibi mzaa mama yake alivyofariki wakati wa kampeni yake ya kuukaribia uraisi
Issue ya albino ilimliza mzee siku alipoona mtoto amekatwa mikono yote
Duh..🥺🥺🥺🤔🙇🏿♂kulia ni dawa
Wanawake ni wepesi kulia lakini wanapolia wanatoa sumu mwilini
Wanaume hawalii wanalia moyoni sasa ile sumu inabaki moyoni
Na moja ya sababu ya wanaume kufa haraka ni kulimbikiza hizo sumu
yakichangiwa na masaibu mengine ya kimaisha