kadadeki ebu ngoja upate ajali alafu uparalyse alafu uwe hujaoa au hujaolewa uone matusi utkayoporomoshewa na ndugu zako
oh mie sioi sasa ona unvyotapatapa...nani aje ashike mavi yako hapa.
tusidanganyane kuoa ni muhimu upende usipende. wale ambao wataki kuoa basi wafanya moja kati ya haya
1) hakikisha unapesa za kutosha kiasi cha kwamba ukizeeka wewe unaenda old mans home
2) kuwa na bunduki yako pembeni kabisa na uwe na mentality ya kwamba kama likitokea lolote najipiga risasa. hujafa hujaumbika kaka lolote laweza tokea na wakaribu yako ni mke/mume ndugu watakuja leo na kesho ....binadamu achelewi kuchoka!!! na juu ya hapo watakumwagia matusi.
Mtambuzi labda tuanzie hio sentensi yako ya mwisho.... Ni nini hasa kimetuleta hapa duniani na wajiibu wetu ni upi??

Watu wengi sana ambao hawajaoa au kuolewa huwa wanafikiria zaidi kuhusu kumpata mtu anayefaa. Wanawake ndio wako kwenye kifungo hiki zaidi. Jamii imewaambia kwamba, umri unavyoongezeka na nafasi yao ya kuolewa na pia kuzaa watoto inakuwa finyu zaidi. Kwa bahati mbaya wameamini hivyo.
Lakini nijuavyo mimi, maumbile hayana kuoana, wala hayana kitu kinachoitwa watoto wa nje ya ndoa. Najua kauli yangu hii itawakera wale wanaoamini katika dini zao hizi za mapokeo, lakini huo ndio ukweli wenyewe.
Lakini naamini watakubaliana na mimi kwamba, hata waanzilishi wa hizi kubwa, sio wote ambao walioa. Ingekuwa kuoa ni suala la maumbile, basi nao wangeoa pia. Ukweli ni kwamba kuoa au kuolewa ni suala la binadamu zaidi. Hivyo uoe au usiolewe ukweli kwamba utabaki kuwa binadamu na kutimiza kile kilichokuleta duniani, hauwezi kuondoka.

Nyerere alisema hakuna umasikini mkubwa kama umasikini wa Fikra,Mtu yeyote mwenye mawazo kama haya ni masikini wa fikra hata kama anaendesha vogue.kadadeki ebu ngoja upate ajali alafu uparalyse alafu uwe hujaoa au hujaolewa uone matusi utkayoporomoshewa na ndugu zako
oh mie sioi sasa ona unvyotapatapa...nani aje ashike mavi yako hapa.
tusidanganyane kuoa ni muhimu upende usipende. wale ambao wataki kuoa basi wafanya moja kati ya haya
1) hakikisha unapesa za kutosha kiasi cha kwamba ukizeeka wewe unaenda old mans home
2) kuwa na bunduki yako pembeni kabisa na uwe na mentality ya kwamba kama likitokea lolote najipiga risasa. hujafa hujaumbika kaka lolote laweza tokea na wakaribu yako ni mke/mume ndugu watakuja leo na kesho ....binadamu achelewi kuchoka!!! na juu ya hapo watakumwagia matusi.
Watu wengi sana ambao hawajaoa au kuolewa huwa wanafikiria zaidi kuhusu kumpata mtu anayefaa. Wanawake ndio wako kwenye kifungo hiki zaidi. Jamii imewaambia kwamba, umri unavyoongezeka na nafasi yao ya kuolewa na pia kuzaa watoto inakuwa finyu zaidi. Kwa bahati mbaya wameamini hivyo.
Lakini nijuavyo mimi, maumbile hayana kuoana, wala hayana kitu kinachoitwa watoto wa nje ya ndoa. Najua kauli yangu hii itawakera wale wanaoamini katika dini zao hizi za mapokeo, lakini huo ndio ukweli wenyewe.
Lakini naamini watakubaliana na mimi kwamba, hata waanzilishi wa hizi kubwa, sio wote ambao walioa. Ingekuwa kuoa ni suala la maumbile, basi nao wangeoa pia. Ukweli ni kwamba kuoa au kuolewa ni suala la binadamu zaidi. Hivyo uoe au usiolewe ukweli kwamba utabaki kuwa binadamu na kutimiza kile kilichokuleta duniani, hauwezi kuondoka.
Hivi Mungu ni so self centred kiasi kwamba ametuumba kwa ajili ya kumpenda, kumsujudia, kuwambudu. ........................................ tu? I doubt it.Mungu ametuweka duniani tumjue, tumpende, tumtumikie, tupate kufika kwake mbinguni!!!