Hata Uganda nako....

Hata Uganda nako....

Mu-Israeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2012
Posts
2,454
Reaction score
975
Mawaziri wa Uganda wakisinzia kwenye kikao.

2014722105537281734_20.jpg

... Na mkuu wao wa kaya naye sio mvivu....

2014722105023154734_20.jpg
 
Ndo umuhimu wa kuvaa miwani myeusi unapoonekana!

Kile kituo cha Tv kilichomuonesha mkulu wao akisinzia nacho kilifungiwa bila shaka!

Hii aibu ya milele kabisa!
 
Wengi wa wabunge wetu wana umri mkubwa. Yabidi huko bungeni (a) session ziwe za saa 2 zikifuatiwa na pumnziko la nusu saa (b) kuwe na vyumba vya kupumnzika wakati wa break hizo za nusu saa.

Kama sio hivyo kuwe na sharti la kikomo cha umri wa juu kwa mbunge mathalan miaka 50.
 
...jamani jf itapigwa ban, lile gazeti sijui tv imepigwa ban ya maana msije kutuvurugia jf yetu...
 
Ndo umuhimu wa kuvaa miwani myeusi unapoonekana!

Kile kituo cha Tv kilichomuonesha mkulu wao akisinzia nacho kilifungiwa bila shaka!

Hii aibu ya milele kabisa!
Walimtetea kuwa alikuwa kwenye tafakuri zaidi..hahahaaaaaaaaaaaaaaaa Afrika kuna mambo aiseee
 
hivi wanasinzia bungeni tu?maana kwa waheshimiwa kama hao kusinzia inataka moyo,si anaweza akatunguliwa risasi
 
Wengi wa wabunge wetu wana umri mkubwa. Yabidi huko bungeni (a) session ziwe za saa 2 zikifuatiwa na pumnziko la nusu saa (b) kuwe na vyumba vya kupumnzika wakati wa break hizo za nusu saa.

Kama sio hivyo kuwe na sharti la kikomo cha umri wa juu kwa mbunge mathalan miaka 50.

Usingizi ni hatari sana .... Hata kwa vijana...

a98493_work-sleep_3-queen.jpg
 
hivi wanasinzia bungeni tu?maana kwa waheshimiwa kama hao kusinzia inataka moyo,si anaweza akatunguliwa risasi

Kusinzia ni popote,

Ila waafrika tumezidi...

1131806_mugabe_jpg8e760937642ac5c22961ca152a8464d1
 
Back
Top Bottom