Hata Uganda nako....

Hata Uganda nako....

Wengi wa wabunge wetu wana umri mkubwa. Yabidi huko bungeni (a) session ziwe za saa 2 zikifuatiwa na pumnziko la nusu saa (b) kuwe na vyumba vya kupumnzika wakati wa break hizo za nusu saa.

Kama sio hivyo kuwe na sharti la kikomo cha umri wa juu kwa mbunge mathalan miaka 50.

Inawezekana, ila habu angalia dogo hapa chini...

nap.jpg
 
nap.jpg


Watoto wananifurahisha hapo tu, vituko vyao
 
Waziri wa fedha wa Japan (Shoichi Nakagawa) ndio alifunika mbaya.

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom