Hata ufanyenini hawa wanawake hawaridhiki

Hata ufanyenini hawa wanawake hawaridhiki

yaani wanawake hawajui wanachotaka
ukimpa hela atataka good sex
akipata good sex atataka muda wa kuwa nae hapo hajui muda utakao utumia ndio unautumia kutafuta hela na bado atataka umsaiidie vikazi vikazi vya nyumbani ili ajue unajali
atataka muda wote mchart muongee na simu bila kuuliza muda unatoka wapi

kimoja wapo kikimiss tu umechapiwa

Ur right 100% mkuu yani sijui wanaamini kuchat ndio kupendwa..unakuta mtu upo busy kazi zimebana utasikia text baby i miss u yani wanatuletea mapenzi ya kiphilipino wakati bongo ukikosea tu hakuna pesa
 
pole sana punguza hasira ongea na mkeo mtafute suluhu
 
Timua huyo ili uanze kufurahia maisha yako weweee....njoo tujumuike ktk maisha ya mabadlko na hapa kaz tu
 
Hata umbembeleze vipi hata umpe kila kitu bado mwanamke huyu haridhiki hata ukipenda na hata ukawa zuzu bado yeye unamuudhi hivi nyie wanawake mufanyiwe nini na waume zenu mupate kuridhika.

Sasa akijaribu kudai talaka tu fasta sitachelewa nitatoa bila kinyongo na huku najipongeza na moja moto moja baridi kama bado hauja oa yafahamu mapungufu ya mtu unaetaka kumuoa kama huwezi yavumilia.

Usijaribu kumuoa hata bila ushahidi.

Nliwah kuwa naye wa dizain hyo, nkamtimua asubuh asubuh mapemaaaa..... Sasa nafurahia maisha ya kuwa huru kifkra, kmaamuzi na uchapaji wa kazi
 
Mimi ndo maana huwa nawafumua mademu mishundu, a. k. a tigo, maana hakuna namna
 
huyo mwanamke kuna vitu flani anavitaka ila anashindwa namna ya kukwambia anajikuta anaona kama unamuudhi muda wote maana anachotaka hakipati usiwe na jazba kuna mambo yanakupungukia si ajabu anapenda zawadi ya pipi tu we unawza kumpa pesa
 
Hata umbembeleze vipi hata umpe kila kitu bado mwanamke huyu haridhiki hata ukipenda na hata ukawa zuzu bado yeye unamuudhi hivi nyie wanawake mufanyiwe nini na waume zenu mupate kuridhika.

Sasa akijaribu kudai talaka tu fasta sitachelewa nitatoa bila kinyongo na huku najipongeza na moja moto moja baridi kama bado hauja oa yafahamu mapungufu ya mtu unaetaka kumuoa kama huwezi yavumilia.

Usijaribu kumuoa hata bila ushahidi.

Yani wanaume ndio kabisaaaa hata mkaangiwe k bado hamridhiki mfyuuuu
 
punguza jazba bro kuachana sio suluhisho kaa na mkeo myamalize coz ata kama ukiachana ukaoa mwingine na hawa wengine wana tabia zilezile
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom