Hata tungempeleka NANI eala, mambo ni yale yale!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
94,147
164,586
Kwanza tujiulize tunategemea wabunge wetu wa eala wakatufanyie nini huko eala?Kisha tuwapime wabobezi tunaowaamini waliosheheni ktk Tume ya Katiba ya jaji Warioba na wale wa Bunge la Katiba wametufanyia nini mpaka sasa.Tukishayajua haya ndio tunaweza kuwabeza hawa wateule wetu wa eala.Mbunge mmoja wa Kenya mh Diale amepinga uwepo wa kaka yake Raila na mtoto wa Musyoka kama wagombea wa eala huko Kenya, amesema wanaweza kufanya siasa za undugunization na uchama ktk siasa za ndani lakini ktk eala Kenya kwanza.Amesema wasipoondolewa kwa kuwa wamewekwa kwa mizengwe basi atakwenda mahakamani.Hao ni wakenya lakini sisi Tz yeyote anaweza kwenda muhimu ni jinsia na kujua KK plus "kizungu" cha kuombea maji.Ahsanteni!
 
Back
Top Bottom