kamwendo
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 908
- 1,937
BRO..sidhani kama kuna tatizo hapo muhimu mmependana.Tofauti ya umri wa miaka miwili sio issue...Usijipe mawazo kwa kitu kidogo kama hicho na si kwamba ukioa mke aliyekuzidi umri unapata dhambi Hapana bali utakuwa mume bora sababu utamuheshimu sana mkeo