Hata sijui nifanye nini, nahitaji ushauri wenu

Hata sijui nifanye nini, nahitaji ushauri wenu

jamii forum hatuandiki kama facebook kwa sababu nyingi hii ni chanzo cha taarifa zinaheshimiwa na kutunzwa ,pia watu na heshima zetu tunatoa michango yetu hichi si kijiwe cha wahuni na watoto.
 
nahisi kuna tatizo lingine si hilo ulilosema
 
Kaushauri kangu ndg yangu. Si akuzidi umri miaka 2 tu, hata 8 bado weye una faidi tu. Nilidhani kuwa ungesema kakuzidi 20. Ningekuona umepotea kidogo.
Mwanaume huzeeka haraka zaidi ya mwanamke haswa kama mtapitia maisha magumu kifedha, wewe utazeeshwa na mawazo wakati yeye kama ulimzidi tena umri ataonekana bado anadai.
Oa mke usioe siku zake. Akuheshimu, akutii. Autunze mwili wake vizuri. Siku hizi kuna wasichana wasio jua kujitunza, miaka 18 lakini mkubwa kuliko mamake. Wale wapenda chips saana na mikuku ya kisasa. Wamejaa minyama utadhani ni hayo makuku wamekula. Kama huyo hayuko hivyo, oa mke sio miaka yake utafaidi
 
jamii forum hatuandiki kama facebook kwa sababu nyingi hii ni chanzo cha taarifa zinaheshimiwa na kutunzwa ,pia watu na heshima zetu tunatoa michango yetu hichi si kijiwe cha wahuni na watoto.

sawa mkuu nmekuelewa.
 
Kaushauri kangu ndg yangu. Si akuzidi umri miaka 2 tu, hata 8 bado weye una faidi tu. Nilidhani kuwa ungesema kakuzidi 20. Ningekuona umepotea kidogo.
Mwanaume huzeeka haraka zaidi ya
Asante kwa kunipa moyo maana nimempenda kweli
 
Wewe vuta mzigo, kwani si ulimwona ni rika lako ndio maana ukaweka neno na yeye akakukubali, hata hivyo angeweza kukudanganya na bado ungeamini kwamba umemzidi
 
wewe haumpendi ndo mana una sitasita ila mwenzako anajua yeye mkubwa kwako na bado amekubali.... KUPENDA mkuu kuna maana kubwa sio kirahisi kirahisi unasema UNAMPENDA alafu unaona "ulakini" kwa mwenzi wako... so achana nae tu kiroho safi kama hauna mapenz nae
 
unadhan ndoa ni kama sarafu ya mia 5 ee,,,u have a looong way to go,,,fanya maisha wacha nchecheto
 
Heeeee!!!!! Nikiwa na Toto la kiume kama wewe haki ya nani nauza!!!
 
Kwani kipindi unamfanya awe girlfriend wako huku litambua hilo? Mbona kipindi unataka kum approach hukuja kuomba ushauri. Unataka kufanya watu wadadindie basi kwa mbele. Hatujua hata mlipoanza. We mtoto wa kiume hebu be like a man. Ushauri wa kitoto huu wanaume huwa hatuombi think like a man. Hata kama una 18 or 20 think like a man.
 
Mwambie bado mnataniana hujawa serious....

Girlfriend wangu ambae mwanzo mahusiano yalikuwa kama utani tu lakn kadr sku zlvyo zd kwenda tuljkuta tukpenda kiukwel na tatzo ni kwamba girlfriend wangu kanizidi umri wa miaka miwili na anataka tuoane nashindwa jinsi ya kukataa.
 
Hi wanaJF

Naomba ushauri wenu

Girlfriend wangu ambae mwanzo mahusiano yalikuwa kama utani tu lakn kadr sku zlvyo zd kwenda tuljkuta tukpenda kiukwel na tatzo ni kwamba girlfriend wangu kanizidi umri wa miaka miwili na anataka tuoane nashindwa jinsi ya kukataa.

Sijui nifanyeje

Age is just a number, kwenye ndoa kuna vitu zaidi ya umri.Mfano mbona mke wa David Beckham anamzidi mumuwe miaka miwili na bado hujasikia minong'ono?
 
kwani mlivyoanza urafiki hamku ulizana umri?? mambo mengine majibu mnayo kabisa
 
Back
Top Bottom