Hapana babu, kwa jinsi nnavokufahamu najua hutapata kesi hapo, Asprin najua hawezi kukuletea shida
Hahahahahahahahah,
Huko kwa Sean ni saa ngapi sasa??
Hamlali?
Saa sita na nusu usiku sasa, hahahah umesahau babu Kasinde anakula ujana, yaani huku nina popo kuliko nilivokuwa napopo bongo maana kipindi hiki ni cha summer hivo mchana mrefu usiku mfupi, usiku mzima nabundi nalala asubuhi hade early noon coz mchana mrefu. Am just enjoying life babu...

ooohoooo sorry babu I didn't knew that am causing a mess... Asprin please naomba usimuweke babu mwenzio njia panda.... hope nimeondoa utata....
Bado tu hujajua kigreza?!
Unatuaibisha kwa shem zetu.
Kasinde..napenda ulivo na comfidence..karibu upopo europe kama hutojali
Europe, sijawahi fika huko, but nafurahia mualiko wako. Is serious nikuweke kwenye ratiba yangu ya likizo ya mwakani? maana ya mwaka huu almost inaisha, thanks nimezaliwa hivo japo wengine wanakereka na confidence yangu, nakosa cha kuwasaidia
Am serious..naelekea tznia soon for my short holiday kama hutojal tupange then siku ukiwa tayar nikupe mualiko...ni pm usijal
Am serious..naelekea tznia soon for my short holiday kama hutojal tupange then siku ukiwa tayar nikupe mualiko...ni pm usijal