Hata Scanner za Airport tunapewa msaada?

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
72,935
Reaction score
102,690
Namsikiliza Zuhura Yunus akiongelea safari ya Rais China.
Anasema kati ya mikataba 15 mmoja wapo ni kuwa Serikali ya China itatupatia Scanners kwa ajili ya ukaguzi kwenye viwanja vua ndege.

Hivi kweli kabisa nchi yetu ni ya kusafirishwa mbali kote huko afu tunapewa scanners

Mwingine

Ujenzi wa Makumbusho ya Nyayo za Binadamu,
Hivi kweli kabisa Rais ameona hilo la muhimu

Nyingine

Uendelezaji wa Tehama

Kwanini Serikali isingeacha Sekta Binafsi iwekeze kwenye hiyo sekta kuliko kukubali ipatia China ?

Mwingine eti wameondoa ushuru wa bidhaa kutoka Tz, hizo bidhaa hazimnufaishi Mtz, maana zitanunuliwa na Wachina, watapelekwa kwao
 
Hizo scanner utakuta zinatoa mwanya ya kutodetect bidhaa toka china zilizowekewa mionzi flani, software itachezeshwa kupitisha magendo ya waChina
 
Wapiga mizinga aka omba omba ndiyo asili yetu

Ova
 
Kuna tofauti kati ya Body scanners - kama zinazotumika airports za US (sijawahi kuona kwenye airports nyenginezo) na X ray luggage scanners.

Je wamespecify ni ipi?
 
Namsikiliza Zuhura Yunus akiongelea safari ya Rais China.
Anasema kati ya mikataba 15 mmoja wapo ni kuwa Serikali ya China itatupatia Scanners kwa ajili ya ukaguzi kwenye viwanja vua ndege.

Hivi kweli kabisa nchi yetu ni ya kusafirishwa mbali kote huko afu tunapewa scanners

Mwingine

Ujenzi wa Makumbusho ya Nyayo za Binadamu,
Hivi kweli kabisa Rais ameona hilo la muhimu

Nyingine

Uendelezaji wa Tehama

Kwanini Serikali isingeacha Sekta Binafsi iwekeze kwenye hiyo sekta kuliko kukubali ipatia China ?

Mwingine eti wameondoa ushuru wa bidhaa kutoka Tz, hizo bidhaa hazimnufaishi Mtz, maana zitanunuliwa na Wachina, watapelekwa kwao
Airport Dsm mbona scanner zao zimeandikwa kabisa ChinaAid 🤣🤣
 
Bora ya hizo skana kuliko wazungu wanaokuja kutujengea vyoo vya msaada.
 
Kuna tofauti kati ya Body scanners - kama zinazotumika airports za US (sijawahi kuona kwenye airports nyenginezo) na X ray luggage scanners.

Je wamespecify ni ipi?
Kama ushapita Terminal mpya ya JKIA ipo
 
Omba omba ni laana flani hivi na ndio maana tunapiga hatua moja mbele 2 nyuma
 
Back
Top Bottom