Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,764
- 909
Nairobi kitu gani bana! Njoo Kiding'a ndio mpango mzima!
mkuu mbona unamnan'ga mwenzio,kipenda roho jamani,bishanga raha yangu kuvinjari maeneo ya kandahar,mkuu ushafika huko? Kuzuri sana.wtf?????? Tanzanians are s.t.u.pdy like this now days.. Wanairobi wanatamani kuja kuishi Tanzania wewe unaitamani nairobi yao
ulikua Nairobery mitaa ipi?
Westlands, Umoja, Eastleigh, Loisambu kule karibu na Kasarani, uzunguni Hurlingham au Gikombaa, Kibira au mitaa gani?
Hata hivyo Nairobery kuzuri lol...
mkuu huko Ilkiding'a vumbi hadi magotini...halafu sijui kama siku hizi kuna magari huko
Huyu alitoka koinange
ulikua Nairobery mitaa ipi?
Westlands, Umoja, Eastleigh, Loisambu kule karibu na Kasarani, uzunguni Hurlingham au Gikombaa, Kibira au mitaa gani?
Hata hivyo Nairobery kuzuri lol...
Huyu naye jamani anasema kwmb amefika Nairobi tu?
Angefika na hata kule mtaa wa Kericho kwenye matanusi ya huyu member mwenzetu Preta na ajionee mambo yalivyo huko,magorofa yamepangana kama yameoteshwa vile.
Ngoja atakuja mwenyewe na utamsikia!
Eti Nairobi!!
kwa raha zako! jifurahie mwaya, mie mwenyewe nilifurahia sana siku nilipompeleka mtu uvinza! maana mie nimezaliwa huko, ila kuna mkaka alikuwa hajawahi fika, nikampeleka. ali-enjoy sana na kufurahia sana mandhari ya uvinza!
wtf?????? Tanzanians are s.t.u.pdy like this now days.. Wanairobi wanatamani kuja kuishi Tanzania wewe unaitamani nairobi yao
huko unapozungumzia sijui ni wapi? Huku ndio mahali bora pa kuishi huku duniani kwa sasa! Lol....