Kwakweli anga limeficha siri nying sana. Sio siri tangu siku za manabii mvuwa ilikuwa ishara kubwa ya Baraka na Mungu kusikia maombi ya watu. Kwahapa Tz Mungu pia amefurahi maana amezaliwa mtoto mwaminifu na mchapa kazi ambaye ataleta mabadiliko makubwa yakiuchumi Dr Magufuli. Kiufupi mvua imenyesha bara na visiwan siku yakutangazwa kama mshindi na hata kuchukua cheti. Ama kwa hakika tumempata Rais na Mungu amefurah. Thx