Hata msipokubari huu ndo ukweli

Hata msipokubari huu ndo ukweli

Ni kujinyima na kujitesa Sana mwanaume kuamua kuwa na demu au Mke mmoja kwenye dunia hii yenye warembo Wengi wenye sifa mbalimbali .
I think unashindwa kutofautisha kati ya mapenzi na sex.
ulivhozungumzia hapa ni about sex, but relationship is between two people not many.
 
Back
Top Bottom