dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 9,402
- 15,985
Watanzania wananyanyaswa Sana na watawala hata kuliko mkoloni tulie ambiwa kuwa aliondoka hapa tanganyika mwazOni mwa 1960 , na walituachia vitu vingi vya muhimu Sana kama shule ,makanisa, mashamba makubwa ,reli ,na urban planning nzuri sanaa katka baadhi ya mikoa.
Sasa hivi tuko na ngozi nyeusi acha kabsa kheri Tena ngozi nyeupe manake ngozi nyeupe ina utu ,huruma,hawana wivu ,siyo wavivu ,Wana jali maslai ya wafanyakazi Ni watu wakarimu na wamestaarabika mno ,hawaibi hadharani
Sasa hivi Tunanyanyaswa na ngozi nyeusi ,tunatezwa ,tunabambikiwa kesi ,tunanyimwa elimu Bora ,mishahara duni tunalipwa ,mafao wanaiba Tena kwa kuweka sheria Kali, wanaiba mpaka mafao ya wanajeshi je nao wamekaha kimya tu na kujikomba ili nao wateuliwe ili wakaibe vzr
wezi wa Mali za umma wamejaha kila Kona Hadi ikulu wapo na wanajulikana kuwa Ni wezi ,wezi Hadi ukiwa mnyonge wanakuibia Hadi mke na mume
Tanganyika ukihoji Jambo lolote unabambikiwa kesi za ugaidi ,uhaini ,uhujumu uchumi ,ujambazi yaani kila kitu unapewa ilimradi usote,utaabike ,ukonde ,ufe kwa pressure ,Bora mkoloni Tena hakuwa na baya alihimiza watu wafanye kazi na kuelimikaa na kujijenga
Nani atatufusha watanganyika manake tunaonewa mno na Hakuna wa kutupigania tupo Kama kondoo wanao subiria kuchinjwa .
Mtu au kikundi Cha watu wakijitokeza kumpigania mtanganyika Basi huyo mtu ataoneshwa rangi zote na mamla
Kwa kufipi kumpigania mtanganyika Ni kujitafutia matatizo bure na mtanganyika atakaha kimya pindi upatapo matatizo Wala hatajali Yuko zake busy kuwasifu watawala