Hata mimi wamo

Hata mimi wamo

Asee huyu mtoto ni balaa, anavyoichekelea hiyo nguna mimi hoi!!!
 
Sembe linapendwa sana mpaka Dogo kacheka sana.
 
Si mchezo! Ni kama anasema: ngoja nicheke niongeze njaa halafu hii kitu itanitambua
 
Nguna mlima nchuzi kiduchuu unachovya rangi tu
 
Back
Top Bottom