Hata mimi nimeshangaa jaman

Hiyo ndo Bongo movie sasaView attachment 927452
Tatizo la Wabongo tunapenda kuponda sana pasipo research wala kujiuliza hii ilikuwa wapi na ilikuwaje. Hata picha ya watu wanafanya rehearsals (mazoezi) kabla ya shooting watu wanatokwa povu...

Ukiuliza watu hii movie inaitwaje na imetengenezwa na nani sidhani kama kuna mwenye jibu!...
 
Hapa nadhami jiwe lempata mtu itosini.ha ha ha haaaa.
 
Inaelekea we hujawahi kuona ile ya jini linamfukuza mtu afu linazidiwa mbio linaamua kukodi bodaboda

Bongo movie haina tofauti na kuangalia movie inayoonesha mbuzi anavyotaga.
babu jini anakodi bodaboda mweee
 
Screenshot_2018-11-11-09-56-57-1-1.jpg
 
Back
Top Bottom