Hata mimi nimeshangaa jaman

wakusoza

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
628
644
Eti gari limesajiliwa Msumbiji, limeingia Tz kupitia mpka na Kenya, Dereva ni Mnigeria anaeitwa Obasanjo, Lugha iliyokuwa inazungumzwa ni kilugha cha kusini mwa Afrika, afu watekaji ni wazungu!!
IMG_20181021_134733.jpg
 
Back
Top Bottom