Hata mimi nashangaa

haaaa haaaa haaaa. ....nimecheka kwa huzuni kweli kweli, ndoa jamani mweh, lakini m2 unajickiaje miaka yote hiyo kumtesa mwenzio wakati unajua kabisa nafcn mwako kwamba kosa ni lako ukweli?

Ndio maana unatakiwa kuwa mvumilivu. Utakula mbivu.. Ukikurupuka kurudi kwenu kabla hujafanya uchunguzi... Utakuwa unakosea..
 
Hata mimi namshangaa huyo mwanamke! Namshangaa kwa kweli!
only 4 months ameanza ku cheat namna hiyo? Dada fanya uamuzi kwa kuzingatia yafuatayo:
Mme wako inaweza kuwa ndio hulka yake , unampenda kiasi cha kuweza kuvumilia yakitokea mara kwa mara? Kama huwezi cut clear anza maisha kuna wanaume wengi tu ambao wametulia, hata waki cheat once in a while sio mwaka wa kwanza wa ndoa.
 
Huyo dada anafanya kosa hata vitabu vya Mungu vinapinga alichokifanya

Genesis 2: 24 Therefore shall a man leave his father and his mother, and shall cleave unto his wife: and they shall be one flesh.

Math 19: 5 And said, For this cause shall a man leave father and mother, and shall cleave to his wife: and they twain shall be one flesh?

Ephesians 5 :31 For this cause shall a man leave his father and mother, and shall be joined unto his wife, and they two shall be one flesh.

Anamkosea Mungu kuacha nyumba ya ndoa kwenda kwa wazazi wake! Je mama yake naye akiona kasoro kwa baba yake naye atakwenda wapi?
 
Huyu mwanamme kanipa kigugumizi ,lakini ukweli ni kwamba alikuwa anacheat huko alipokuwa hapo anajaribu kutafuta namna ya kujitetea,mwenyezi mungu kamuumbua na tabia zake chafu..uamzi sasa anao mke .kwani moyoni mwake anajua anahitaji nini.
 
kuna wakati mchungaji inabidi mtu uweke neno la bwana pembeni kidogo.
 
Huyu mwanamme kanipa kigugumizi ,lakini ukweli ni kwamba alikuwa anacheat huko alipokuwa hapo anajaribu kutafuta namna ya kujitetea,mwenyezi mungu kamuumbua na tabia zake chafu..uamzi sasa anao mke .kwani moyoni mwake anajua anahitaji nini.

inakatisha tamaa kweli, kama ali cheat au "anashangaa" kama usemi wake lakini ni mapema mno kukumbana na haya.
 
Wanajamvi muhusika ni mimi. Kusema kweli nimepata kigugumizi. Mtanijadili sana lakini ukweli ni kwamba sijui hii makitu iliingiaje kwenye begi langu.
 
yaani cku hizi nadhani utamu unaishia honeymoon, ukitoka hapo unaanza mpambano.

Ni kweli huyu dada alitakiwa kupambana na si kukubali kushindwa kihivyo! Mshauri tu arudi kwake wakayamalize huko muhimu keshajua ategemee nn kwenye ndoa hiyo
 
Huyo dada anafanya kosa hata vitabu vya Mungu vinapinga alichokifanya

Genesis 2: 24 Therefore shall a man leave his father and his mother, and shall cleave unto his wife: and they shall be one flesh.

Math 19: 5 And said, For this cause shall a man leave father and mother, and shall cleave to his wife: and they twain shall be one flesh?

Ephesians 5 :31 For this cause shall a man leave his father and mother, and shall be joined unto his wife, and they two shall be one flesh.

Anamkosea Mungu kuacha nyumba ya ndoa kwenda kwa wazazi wake! Je mama yake naye akiona kasoro kwa baba yake naye atakwenda wapi?

wapi imeandikwa a man shall cheat on his wife and get away with it????
 
Ni kweli huyu dada alitakiwa kupambana na si kukubali kushindwa kihivyo! Mshauri tu arudi kwake wakayamalize huko muhimu keshajua ategemee nn kwenye ndoa hiyo

hawa ndio wale wadogo zetu walijua ndoa ni utamu mwanzo mwisho, sasa vijimambo kama hivi vikitokea wanashindwa kuhimili mtikisiko.....hata hivyo ni mapema sana jamani kwa mrembo kuyakabili haya.
 
halafu wewe smiles wewe taratibu bwana unachangia changia posts za watu hala hala usiwape ban.....!

Sijakuelewa bado.... unataka kunipa rights za kuban?
mbona utakuwa wewe wa kwanza.......

hehehe....am jus smiles! i dont go to the hate side.....
 
Huyo baba angebanwa zaidi angezikana na nguo zenyewe kuwa hazijui coz aliyempakia begi ni mhudumu! Men...they never cease to amaze me.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom