Hata mimi imenichukua muda kuelewa kinachoendelea hapa!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
1453059478141.jpg
 
duuu, baada ya image kufunguka nika close haraka, kumbe ni picha ya kawaida tu, kusema la ukweli mimi na akili yangu ilivyo chafu hapo nimeona mkuund kwanza kabla ya yote, kumbe sio kabisa
 
Mimi nimeelewa sekunde tu.

Kichwa cha mada lengo lako uwachanganye watu ili akili iende pengine
 
Hii inatufundisha kutochukua maamuzi harakaharaka kabla ya kuwa na uhakika wa kile tunachotakiwa kukitolea maamuzi.
Watu wanaweza kukufanya ukaanza kuhoji au kudadisi jambo huku tayari umeshaanza kuwa na upande wa habari uliyopewa awali.
 
duuu, baada ya image kufunguka nika close haraka, kumbe ni picha ya kawaida tu, kusema la ukweli mimi na akili yangu ilivyo chafu hapo nimeona mkuund kwanza kabla ya yote, kumbe sio kabisa
hahahahaha mkuu umeniacha hoi,skuona hivo mwanzoni mpaka nilivyosoma comment yako duuu:D:D:D:D:D:D:D:D:D
 
Mimi sina ubongo mchafu , nilielewa haraka tu hapo , kuwa ni mwanaume anambusu mtoto
 
Back
Top Bottom