Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,240
hii nchi ngumu sana jamani
hii nchi ngumu sana jamaniWee jamaa umekusudia kuchekeshaaa au upo sirius?
hapa ndiyo nimekuelewahahaa
Ni kweli, ule upenyo ni mdogo sana kiasi maji hayakuweza kuingia...chai tu na karatasi ndio vinaingia sababu ni vyembamba.ni ngumu kidogo kuelewa kama haukuwa eneo la tukio au kumsikiliza jamaa akielezea kwa njia ya video
Ipo hivi huyo mhandisi wa kivuko alijifungia ndani ya hicho kivuko upande wa karibu na injini ambapo kiuhalisia maji hayakuingia, sasa ile siku ya pili ya uokoaji ndio wakasikia sauti mtu anagonga, lakin kulikuwa na upenyo mdogo ambao hakuweza kupita, kwahiyo wakatumia huo upenyo kuwasiliana nae na pia kumpa chai maana alikuwa na njaa ya siku mbili huku wakifanya jitihada za kuvunja na kwenda kumuokoa.
Da kweli!Ni kweli, ule upenyo ni mdogo sana kiasi maji hayakuweza kuingia...chai tu na karatasi ndio vinaingia sababu ni vyembamba.
upenyo upo kwa juu, ule upande ulioelea sasa maji yataingiaje?Ni kweli, ule upenyo ni mdogo sana kiasi maji hayakuweza kuingia...chai tu na karatasi ndio vinaingia sababu ni vyembamba.
Kama chai iliweza pita kwanini wampe karatasi kwani wasingeweza kuongea tu kwa sauti au hiyo chai ilikuwa kwenye niniNi kweli, ule upenyo ni mdogo sana kiasi maji hayakuweza kuingia...chai tu na karatasi ndio vinaingia sababu ni vyembamba.
Sauti isingeweza kupenya, si tundu lenyewe lilikuwa dogo sanaKama chai iliweza pita kwanini wampe karatasi kwani wasingeweza kuongea tu kwa sauti au hiyo chai ilikuwa kwenye nini