kiipwi
Member
- Apr 30, 2013
- 66
- 22
MCHUNGAJI alikuwa anawaombea waumini wake akauliza;
Mch: Wangapi wanataka kuokoka inueni mikono niwaombee..
Hakuna aliyeinua mkono. Pedeshee mmoja akapita mbele na kupanda madhabahuni na kutangaza
Pedeshee: Jamani Mchungaji anasema wanaotaka kuokoka wanyanyue mikono juu jamani...
Mtoto mmoja peke yake akanyanyua mkono, yule pedeshee akatoa laki tatu mfukoni akampa yule mtoto
Pedeshee: Haya jamani naomba nirudie tena niwaombe wanaotaka kuokoka wanyooshe mikono juu ili Mchungaji atuombee...
Watu wote wakanyanyua mikono juu, Pedeshee akamgeukia Mchungaji ili awaombee akakuta na Mchungaji nae kanyanyua mikono juu..
Chezea pesa wewe!!
Sent from my iPhone