Hata Manchester City ni Manchester pia

Ngumbaru

JF-Expert Member
Apr 24, 2018
338
450
Mpaka sasa sijaona usajili wa maana katika timu yangu ninayoipenda.
Eti sasa hivi Ed Woodward anahangaikia saini ya Longstaff wa Newcastle, kipindi majirani zetu na wapinzani wetu wanafanya sajili za kueleweka,Ed Woodward anatuletea wachezaji wake wa ajabu ajabu.
Nasemaje,siko tayari kuendelea kuteseka na stress kwa msimu mwingine.
Hata Manchester City ni Manchester pia,msimu ujao nitakuwa Manchester City ya Pep Guardiola.
"KUNA WATU WATACHUKIA"
Tusameheane tu.
 
Wewe kuwa manchester city milele kabisa. Wacha sisi tutabaki na Manchester United. Glory hunters wanaruhusiwa kuondoka na kwenda kwingine wapendapo.

And by the way, wachezaji wanaokuja ni chagua la OLE na sio Woodward.
 
Nyie mashabiki wa damu endeleeni tu kubaki huko mkuu.
Mimi GLORY HUNTER ngoja nihamie upande wa pili.
 
hivi tofauti kati ya Chelsea yenye transfer ban na haya magenge mengne Arsenal na Manchester united kuna tofauti gani katika usajili ??
mchezaji mpya atakaye cheza Chelsea msimu ujao ni pulisic huku hazard akiwa ameondoka, man u ingizo jipya ni James na bissaka ila probability ni pogba na lukaku kuondoka,,
kwa upande wa arsenal kama vile ndo wenye transfer ban instead of Chelsea maana wapo inactive kabisa kwenye usajili
 
Hayo matimu yanatesa tu mashabiki wake mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: usy

Similar Discussions

Back
Top Bottom