amesema tunashinda mitandaoni kupost umbea ,ila wambea wakubwa ni wale wanaopenda SHILAWADUNimesikiliza JPM leo katika uzinduzi wa fly over ubungo, anadai ye ni raisi anayejiamini, fomu alienda kuchukua mwenyewe na hawezi kupangiwa nini cha kufanya, swali langu kwake ni je hizo kura alijipigia yeye akawa raisi, kwanini watanzania kama kuna uonevu asiwasikilize, nahisi kuna viongozi wanaodhani wataishi milele nawakumbusha KIFO kipo, ujuaji mwisho wake ni aibu....ngoja tuone hata huyo unayemkingia kifua mwisho wake utakuaje.....wangapi wamefukuzwa kazi na kuachishwa masomo kisa hawana vyeti leo hii raisi ndio angeuka anakuwa mtetezi wa swala hili kwa mtu ambae hana vyeti.....daaaaah
Hakika nyani haoni kundule, ye kajuaje kama sie tunashinda mitandaoni yawezekana hata yeye anashinda pia.....mie sijawahi kuangalia kipindi cha shilawadu ila yeye ndio kipindi chake pendwa.amesema tunashinda mitandaoni kupost umbea ,ila wambea wakubwa ni wale wanaopenda SHILAWADU
Rudia tena?Nchi hii haina rais pana mpangaj pale
Hajui sisi ni waajiri wake? Na kwamba tumemweka pale asimamie katiba na kuilinda? Kwani naye ni bashite?!!!!Nimesikiliza JPM leo katika uzinduzi wa fly over ubungo, anadai ye ni raisi anayejiamini, fomu alienda kuchukua mwenyewe na hawezi kupangiwa nini cha kufanya, swali langu kwake ni je hizo kura alijipigia yeye akawa raisi, kwanini watanzania kama kuna uonevu asiwasikilize, nahisi kuna viongozi wanaodhani wataishi milele nawakumbusha KIFO kipo, ujuaji mwisho wake ni aibu....ngoja tuone hata huyo unayemkingia kifua mwisho wake utakuaje.....wangapi wamefukuzwa kazi na kuachishwa masomo kisa hawana vyeti leo hii raisi ndio angeuka anakuwa mtetezi wa swala hili kwa mtu ambae hana vyeti.....daaaaah
Kama swala la vyeti na uvamizi ni umbea basi tanzania kuna wambea wengi sana.Ndio! Watz wote mnaoshabikia umbea umbea ni wajinga!
Pole naona ulikuwa hujaelewa the real meaning ya 'wataisoma number mwaka huu'Mh.Rais kweli hilo ndilo jibu uliloamua kutuchagulia watanzania juu ya yanayoendelea? kweli kabisa toka moyoni mwako umeona hilo ndilo linatufaa? Mungu Tusaidie.