Hata kukucertify uchumba bado ushakua kero daah

Huyu bint kiukwel asipoangalia,..itakula kwake
1.anataka kiila weekend aje kwangu ijumaa aondoke j3 hata sipumui kiukwel

2.nkimwacha nyumban nakuta kapekua kiila kona af alivyo 0 brain hata kurudisha vzur hawez

3.tumekubaliana mambo ya sim kila mtu na yake ila yeye nikiacha sim dk mbil nakuta kaishika yani..anazuga et anapiga selfie yake camera uwezo mdogo

4.na mambo mengne meeng yanakera
Well,kilichofanya niandike uzi ni hiv nmemdanganya nmesafir kikaz mwez mzima,cha ajabu et anasema anataka aje hukohuko et tukae wote ,yuko serious had ugomv yan,najua anataka kuthibitisha tuu ni kweeli

Hiv mwanamke wa hiv kwel si balaa hil,(bom,linasubir kulipuka hili)

Uzi tayar.
Vitu vingi vinavyofanyika kwa mapenzi ni shida kufanyika pasipo mapenzi. Mfano kwenye mapenzi kujuliana hali ni kujali ila pasipo mapenzi ni kero.
Kupelekeana maji bafuni ni mahaba na heshima. Pasipo mapenzi ni utumwa na mfumo dume.

Ushauri To coexist the distance apart should be equal to the least feelings between you. Pia utakayemplekea kwako uwe na mpango naye sio kiiila mtu anakuja kwako.

Nyie ndo mnaboa kishenzi. Imagine unaoa mke alishakaa na njemba akapika na kupakua. Keshalifualia boxer na wala hana asichokijua kuhusu njemba hiyo. Halafu wanakutana wanapiga stroy. Hapo una mke kweli???
 
Acha kumpetezea muda huna malengo nae
 
Wewe ndio hujielewi, unakiri kuwa umemdanganya kuwa umesafiri na yeye anataka kuthibitisha halafu unamuona hajielew badala ya wewe kuwa ndio hujielew...
Weekend ni siku ya kijasiriamal na mipango na washkaj etc,sasa yeye awe mda wote namm,ntafanyaje hzo mambo zngne..nashindwa mwambia usije sabab ana mind
 
Huyo hana tofauti na TCRA yani anakudukua balaa
Huyu bint kiukwel asipoangalia,..itakula kwake
1.anataka kiila weekend aje kwangu ijumaa aondoke j3 hata sipumui kiukwel

2.nkimwacha nyumban nakuta kapekua kiila kona af alivyo 0 brain hata kurudisha vzur hawez

3.tumekubaliana mambo ya sim kila mtu na yake ila yeye nikiacha sim dk mbil nakuta kaishika yani..anazuga et anapiga selfie yake camera uwezo mdogo

4.na mambo mengne meeng yanakera
Well,kilichofanya niandike uzi ni hiv nmemdanganya nmesafir kikaz mwez mzima,cha ajabu et anasema anataka aje hukohuko et tukae wote ,yuko serious had ugomv yan,najua anataka kuthibitisha tuu ni kweeli

Hiv mwanamke wa hiv kwel si balaa hil,(bom,linasubir kulipuka hili)

Uzi tayar.
 
Vitu vingi vinavyofanyika kwa mapenzi ni shida kufanyika pasipo mapenzi. Mfano kwenye mapenzi kujuliana hali ni kujali ila pasipo mapenzi ni kero.
Kupelekeana maji bafuni ni mahaba na heshima. Pasipo mapenzi ni utumwa na mfumo dume.

Ushauri To coexist the distance apart should be equal to the least feelings between you. Pia utakayemplekea kwako uwe na mpango naye sio kiiila mtu anakuja kwako.

Nyie ndo mnaboa kishenzi. Imagine unaoa mke alishakaa na njemba akapika na kupakua. Keshalifualia boxer na wala hana asichokijua kuhusu njemba hiyo. Halafu wanakutana wanapiga stroy. Hapo una mke kweli???
Hyo paragraph ya mwisho sjakuelewa
 
Ni kosa kubwa kumleta mwanamke ndani kwako kama hajawa rasmi, malizaneni lodge huko.
 
She is the right woman to you brother, Trust me.

USHUHUDA: Kuna rafiki yangu alikuwa na utoto mwingi sana kwa wanawake yaani yeye anaweza kulala na mwanamke mara moja tu then harudi tena , Mbaya zaidi alikuwa anawapeleka kwenye nyumba anayoishi. Kuna binti mmoja alikuwa rafiki wa wale wasichana aliowagegeda nadhani alisimuliwa habari za mshikaji na rafiki yake. Hivyo binti alifanya juu chini akabahatika kugegedana na msela . Kama bahati na mimba ikanasa siku hiyo msela alikuwa anapenda sana watoto basi baada ya miezi minne binti akahamia mazima kwa msela.

Binti alijifungua mtoto wa kike shida ipo kwa mshikaji kuvumilia kukaa siku mbili bila kugegeda hawezi so anajikuta halali ndani kuanzia ijumaa hivyo anarudi nyumbani kwake juma tatu asubuhi kwa ajili ya kujianda kwenda kazini. Siku moja binti alinifata na kuniambia kuwa shemeji unajua maisha ya sasa hivi kupata mwanaume akuachie kodi ya meza kila siku na kukuweka ndani shida sana inafika hatua kuna wengine wakipata hizi nafasi hawapo tayri kuziachia hivyo wapo tayari hata kuroga.

Turudi kwenye mada yako huyo binti ninavyo hisi yupo kama huyu wa rafiki yangu anaamini amekupata mtu sahihi hivyo hayupo tayri kukupoteza kwa gharama yoyote ile. Hivyo tulia usimtie jaka la moyo mtoto wa watu.

Au la nawe ukihisi haupo tayari kwa mahusiano ya aina huyo njia nzuri ni kumuacha aende kuliko kumtesa hali yakuwa unajua abisa she is not a woman of your dream. NUKTA.
 
Back
Top Bottom