Diploma ya nini?habarini jamvini!ajira imekuwa ishu sana either umesoma or huna mtu mahali...
ss basi natafuta ajira hata ya laki mbili mwenye nayo ani pm makaratasi yngu ya vyuo haina shida ntamwekea mwanangu kumbkumb....diploma holder,female straight,english inapanda,beautiful!
n;b wenye maneno ya kero mnaweza ipotezea hii post
samahani mkuu iyo neema recruitment ipo wapi na mm nikajaribu bahati yangu mana ni bora elf kumi kuliko kukaa nyumbanijaribu neema recruitment agency kuna kazi za kujitolea wanalipa elfu kumi kwa cku.
Halafu mkishafika huko muanze kusema '''EROLINK WANYONYAJI'''' .... Angalieni wenyewe maneno mnayoyasema kabla ya kupa...samahani mkuu iyo neema recruitment ipo wapi na mm nikajaribu bahati yangu mana ni bora elf kumi kuliko kukaa nyumbani
co wote wacokuwa na shukrani mkuu wengine tukipata tunakumbuka waliotusaidia ata iwe kidogo vp unaweza nisaidia ata kazi ya kujitolea tu ili niwe ata na experienceHalafu mkishafika huko muanze kusema '''EROLINK WANYONYAJI'''' .... Angalieni wenyewe maneno mnayoyasema kabla ya kupa...
Mungu akufungulie milango upate kazi,
Ukipata tujuulishe tafadhali
Kila la kheri..
Halafu mkishafika huko muanze kusema '''EROLINK WANYONYAJI'''' .... Angalieni wenyewe maneno mnayoyasema kabla ya kupa...
Uko wapi Kaka?
habarini jamvini!ajira imekuwa ishu sana either umesoma or huna mtu mahali...
ss basi natafuta ajira hata ya laki mbili mwenye nayo ani pm makaratasi yngu ya vyuo haina shida ntamwekea mwanangu kumbkumb....diploma holder,female straight,english inapanda,beautiful!
n;b wenye maneno ya kero mnaweza ipotezea hii post
Halafu mkishafika huko muanze kusema '''EROLINK WANYONYAJI'''' .... Angalieni wenyewe maneno mnayoyasema kabla ya kupa...
Njoo uuze m.pesa
jaribu neema recruitment agency kuna kazi za kujitolea wanalipa elfu kumi kwa cku.
hapana, ila kuna thread ilishawekwa humu ikiwalalamikia hao..mkuu muajiriwa nini hapo pekunduu:smile-big:
habarini jamvini!ajira imekuwa ishu sana either umesoma or huna mtu mahali...
ss basi natafuta ajira hata ya laki mbili mwenye nayo ani pm makaratasi yngu ya vyuo haina shida ntamwekea mwanangu kumbkumb....diploma holder,female straight,english inapanda,beautiful!
n;b wenye maneno ya kero mnaweza ipotezea hii post
Kazi hazitafutwi hapa JF. You are not serious.