Hata kama ni ubaili huu umezidi

Duh anauza ila yeye hana. Ni kama wale wapiga debe anakulazimisha "kariakoo kariakoo kariakoo" ila yeye haendi.....
 
...hii ngoma morogoro pasi ubishi...
 
Mamaaaaaa!
Hii ya mwaka!
Hahahahahahahaaaaa!
Mbavu zangu mie!
 
Duh anauza ila yeye hana. Ni kama wale wapiga debe anakulazimisha "kariakoo kariakoo kariakoo" ila yeye haendi.....

ha ha ha ha ha hawa wapo sana,,kama fundi sofa,,,,ukienda kwake unakuta anakali vigoda,,,
 
ha ha ha ha ha ha ha ha... yawezekana watani wangu ndo wanaweza fanya ivyo,,...
 
unajuaje kama ni baili mkuu je kama amevivua..
 

km sio Mkinga huyu sijui
naona amevua tu ili avuke maji inawezekana Moro pamenyesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…