MASIORA JF-Expert Member Joined Mar 28, 2013 Posts 660 Reaction score 271 Nov 20, 2013 #1 Duh,,,,huu ubaili wa design hii ni maarufu sana kwa kabila gani Attachments 530345_723514701010899_1334154193_n_c90e6.jpg 39.2 KB · Views: 844
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Nov 20, 2013 #2 Duh anauza ila yeye hana. Ni kama wale wapiga debe anakulazimisha "kariakoo kariakoo kariakoo" ila yeye haendi.....
Duh anauza ila yeye hana. Ni kama wale wapiga debe anakulazimisha "kariakoo kariakoo kariakoo" ila yeye haendi.....
Gefu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 6,929 Reaction score 2,567 Nov 20, 2013 #3 ...hii ngoma morogoro pasi ubishi...
Mashaxizo JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 6,707 Reaction score 3,360 Nov 20, 2013 #4 Mamaaaaaa! Hii ya mwaka! Hahahahahahahaaaaa! Mbavu zangu mie!
MASIORA JF-Expert Member Joined Mar 28, 2013 Posts 660 Reaction score 271 Nov 20, 2013 Thread starter #5 utafiti said: Duh anauza ila yeye hana. Ni kama wale wapiga debe anakulazimisha "kariakoo kariakoo kariakoo" ila yeye haendi..... Click to expand... ha ha ha ha ha hawa wapo sana,,kama fundi sofa,,,,ukienda kwake unakuta anakali vigoda,,,
utafiti said: Duh anauza ila yeye hana. Ni kama wale wapiga debe anakulazimisha "kariakoo kariakoo kariakoo" ila yeye haendi..... Click to expand... ha ha ha ha ha hawa wapo sana,,kama fundi sofa,,,,ukienda kwake unakuta anakali vigoda,,,
kadakokigondile JF-Expert Member Joined May 17, 2013 Posts 1,872 Reaction score 635 Nov 20, 2013 #6 Mluguru anapata tabu kupanda milimani na viatu
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,802 Reaction score 49,109 Nov 20, 2013 #8 ha ha ha ha ha ha ha ha... yawezekana watani wangu ndo wanaweza fanya ivyo,,...
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Nov 20, 2013 #9 unajuaje kama ni baili mkuu je kama amevivua..
Kertel JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 5,736 Reaction score 5,683 Nov 20, 2013 #10 Gefu said: ...hii ngoma morogoro pasi ubishi... Click to expand... msamvu stend hiyo
Idimi Platinum Member Joined Mar 18, 2007 Posts 15,670 Reaction score 11,770 Nov 20, 2013 #11 mbona kama msamvu hapa?
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,488 Reaction score 100,883 Nov 20, 2013 #12 Ukitaka hata figo anakuuzia tu kwa roho safi
peri JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 2,579 Reaction score 1,170 Nov 20, 2013 #13 Elli said: Ukitaka hata figo anakuuzia tu kwa roho safi Click to expand... ndio maisha, lazma mtu ujue kutumie fursa.
Elli said: Ukitaka hata figo anakuuzia tu kwa roho safi Click to expand... ndio maisha, lazma mtu ujue kutumie fursa.
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,898 Reaction score 55,854 Nov 20, 2013 #14 HP1 said: Mpare huyo Click to expand... wakikusikia
Gefu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 6,929 Reaction score 2,567 Nov 21, 2013 #15 Kertel said: msamvu stend hiyo Click to expand... ..yap...!
riro23 JF-Expert Member Joined Sep 16, 2013 Posts 790 Reaction score 781 Nov 21, 2013 #17 Pesa kwanza afya baadae
blackgold engineer Senior Member Joined Sep 8, 2013 Posts 107 Reaction score 70 Nov 21, 2013 #19 hahaha,,hilo tege la KIMACHAME..
Ukwaju JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 13,384 Reaction score 11,286 Nov 21, 2013 #20 km sio Mkinga huyu sijui naona amevua tu ili avuke maji inawezekana Moro pamenyesha