Hiyo nibackground canvas ambazo tunatumia kwenye photo studio. Hakuna professional acrobats wanaweza kufanya hiyo kitu bila kuwa na secured line inayofungwa kiunoni in case of an emergence. Nasema hivyo kwa kuwa kuanguka katika sarakasi hakukwepeki. Ni kama kuanguka ktk football pitch. So lazima ziwepo backup plans ktk sarakasi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.