^^
There you come royna zawadi ni jambo jema sana lakini pesa yake inawekwa kundi gani katika bajeti ya familia?
^^
naunga mkono hoja hata kama nina pesa na kazi nzuri kunitunza ni lazima.Lakini wanaume wa kibongo wakiona umeingia ofisini tu zile allowance zote anakata afu ataanza kukukopa.Mpenzi wangu najua utasoma hapa naomba jirekebishe maaana na wewe hii tabia umeshaianza natamani kukwambia ila ntaanzaje?Ahsante kwa hii mada nimefikisha ujumbe zile allowances naomba zirudishe jamani.Naanza kupata mawazo labda kuna mwingine unampa

Munkari kwani wako huwa hata zawadi ya pipi hakuletei au siku moja moja ua roseMh!! Mada nzuri!! Ila cjui kama huwa wanaelewa hayo hawa waume zetu ngoja nisikilizie!!
naunga mkono hoja hata kama nina pesa na kazi nzuri kunitunza ni lazima.Lakini wanaume wa kibongo wakiona umeingia ofisini tu zile allowance zote anakata afu ataanza kukukopa.Mpenzi wangu najua utasoma hapa naomba jirekebishe maaana na wewe hii tabia umeshaianza natamani kukwambia ila ntaanzaje?Ahsante kwa hii mada nimefikisha ujumbe zile allowances naomba zirudishe jamani.Naanza kupata mawazo labda kuna mwingine unampa
Munkari Itabidi tumlete huyo jamaa yako humu tumfundishe namna ya kumcare mrembo kama wewehahaha! Loh! Mr Rocky miye naambuliaga dushe tu mambo ya pipi cjui chokolate na maua roze nayasikiaga kwa jirani zangu tu!! We acha nakwambia!!
hhaaahaaahaaa amu umetupiamo za uso kabisaa!!
btw: mleta mada kakong`oli kweli kweli ila kuna watu wana vichwa vigumu kuelewa nazi ina nafuu.
ahaaaaa....umenifanya niwaze nilishawai kupewa nini loh so saad !ila nishahamia airtel hata hivo.labda nitapewa airtime ya kutoshanaunga mkono hoja hata kama nina pesa na kazi nzuri kunitunza ni lazima.Lakini wanaume wa kibongo wakiona umeingia ofisini tu zile allowance zote anakata afu ataanza kukukopa.Mpenzi wangu najua utasoma hapa naomba jirekebishe maaana na wewe hii tabia umeshaianza natamani kukwambia ila ntaanzaje?Ahsante kwa hii mada nimefikisha ujumbe zile allowances naomba zirudishe jamani.Naanza kupata mawazo labda kuna mwingine unampa
amu kwa kweli mimi si mchoyo wa zawadi au allowances hata kama ana kazi yake bado namjali kwa zawadi na outing za kutosha bado najiamini nipo kwenye enzi zile za uchumba ambapo zawadi ilikuwa ni order of the day japo tupo kwenye ndoaMr Rocky natamani kusikia neno lako kuhusu hii mada
unazungumzia pipi? pipi sh mia eti ? wanaume wa siku hizi wabinafsi sana.baba zao hawakuwa hivi sijui wametoa wapi hizi tabia za kichoyo hivi....sasa kama hata pipi hupati si umuache? kama mtu hakuthamini wa nini sasa?Yaani mimi hata nikiletewa pipi tu nafurahije, naona kanijali sana.:dance: