Hata kama mficha uchi maradhi umuumbua

Hata kama mficha uchi maradhi umuumbua

Jamaa kavimbiwa na nnya haitoki inabidi tu apigwe bomba.

Hii kitu ilikuwa inafanywa zamani sana sijui kama bado ipo,wanachukua mapovu ya sabuni wanayajaza kwenye hicho kibuyu then wanayamwagia kwenye rectum kupitia anus baada ya mda mchache ni balaaa uchafu+gesi zote vinatoka na unakuwa freshi.
 
Mmmh!!
 
Enema...
 
HARUFU.jpeg
 
uwez amini sikua nimeelewa hiyo picha
 
mmmh...sasa hata kama ni dawa ndo mbele ya kadamnasi namna hiyo...
 
Hii kitu ilikuwa inafanywa zamani sana sijui kama bado ipo,wanachukua mapovu ya sabuni wanayajaza kwenye hicho kibuyu then wanayamwagia kwenye rectum kupitia anus baada ya mda mchache ni balaaa uchafu+gesi zote vinatoka na unakuwa freshi.

Siku hizi kuna dawa maalumu. Ila bomba siyo nene kiasi hicho. Wanafanyiwa watoto wadogo wanapokuwa wameshindwa kujisaidia!
 
Hiyo version ya kichupa ni advanced, yetu ilikuwa mama anaweka dawa mdomoni mwake, anaiingiza ndani kwa mtoto kwa kutumia mrija.

Tulikuwa tunaiita kuinika. Sometimes dogo anaweza kupushi kinyesi ikiwa bado mama hajamaliza kusukuma dawa na uchafu unarudi kwa mama.

Dah, mmenikumbusha maisha yetu yale. Kweli mama ni mama.
 
No wonder graph ya mapunga inapanda mitaani?
 
Back
Top Bottom