Beso JF-Expert Member Joined May 6, 2011 Posts 216 Reaction score 59 Jan 18, 2012 #1 Nasepa kandokando bila salamu!
M Mr Rocky JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 15,178 Reaction score 14,384 Jan 18, 2012 #2 kama ni mkeo utasepa na hapo kama umemkuta katika hatari na unajua hapo ni sehemu ambako kuna uwezekano wa yeye kudhurika huwezi kumwacha Kuna mazingira kwa kweli unakutana na hatari na hapo huwezi kukimbia kutoa msaada
kama ni mkeo utasepa na hapo kama umemkuta katika hatari na unajua hapo ni sehemu ambako kuna uwezekano wa yeye kudhurika huwezi kumwacha Kuna mazingira kwa kweli unakutana na hatari na hapo huwezi kukimbia kutoa msaada
Zamaulid Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 20,206 Reaction score 16,525 Jan 18, 2012 #3 mmmh!na vitz yangu hapo nitamsaidiaje!!mi nageuza nabadili na njia!
obsesd JF-Expert Member Joined Nov 23, 2011 Posts 1,225 Reaction score 530 Jan 18, 2012 #4 Beso said: Nasepa kandokando bila salamu!View attachment 45608 Click to expand... kabisa yan hata four wheel haitoi ki2 hapo mmh.
Beso said: Nasepa kandokando bila salamu!View attachment 45608 Click to expand... kabisa yan hata four wheel haitoi ki2 hapo mmh.
driller JF-Expert Member Joined Aug 25, 2011 Posts 1,116 Reaction score 246 Jan 18, 2012 #5 cheki hapo kwenye kioo cha mlango wa nyuma kuna jamaa ana mpiga picha huyo mwanamke..! so ukijipendekeza hapo utakua wa pili..!
cheki hapo kwenye kioo cha mlango wa nyuma kuna jamaa ana mpiga picha huyo mwanamke..! so ukijipendekeza hapo utakua wa pili..!