Hata JK aomba kura kwa staili yake

Heee, unataka watu wote tuone kama unavyoona wewe? Maajabu.........

huyo kiwet........ kikwete anajipendekeza tu hana lolote, si hatutaki kufarijiwa tumuone anajkali sana watu wakati ni otherwise.






:confused2:
 
Jamani hivi hamjui???huyo alianza kusikia kizunguzungu!!!hakajifanya anakaa kwa mlemavu yeye akae kwenye vumbi????:confused2:
 
09_10_xa137s.jpg




MWAKA WENU HUU WATANZANIA...
 
Huyo mama mwenyewe anaona raaaaaaaaaaaaaaaaaha. utamu. Hapo wangepewa faragha tu topic ingebadilika.
 
Back
Top Bottom