Hata iweje Lowassa ndio rais wa awamu ya tano

koryo

JF-Expert Member
Jun 21, 2010
639
276
Sisi tuliopo huku Mikoani tumeona kampeni zilivyoenda. Kampeni za Magufuli kama ikifanyika Mwanza watu wanasombwa toka Bunda, Maswa, Shinyanga, Meatu nk.

Kampeni za Lowassa watu wanakuja bila kushurutishwa. kampeni za Magufuli watu wanakuja kuangalia Mafiesta za CCM. Kila kona hivi sasa ni Lowassa Mikoani.

Maeneo kama Tarime kama Magufuli akipata kura asilimia 5% ni bahati yake. Hata Mwanza Lowassa anaweza kupata 51%. Mikoa mingi ni strongholds za Lowassa.

Wizi wa Escrow huku Mikoani inachefua sana wananchi na wanasema hizi fedha waligawana kama watu wanne ili hali hakuna madawa hospitalini. Kesho nitawaletea analysis ya kina kuhusu ushindi wa Lowassa.
 
Eti wanakodi watu na kujidai Magufuli kasimamishwa!!

Yale magari yanafukia tuta zote wala hayapunguzi speed, Raia utamsimamishaje?

Magufuli ana hujumiwa, Mwz kila mwl aliambiwa aende na watoto wa3, bodaboda wote Petrol station za TOTAL.
 
Hilo halina ubishi. Hatutaki mtu mkurupukaji km magufuli.
Akiwa waziri magufuli alihonga nyumba za serikali. Sasa akiwa rais atahonga nn?
Kumbuka rais wa awamu ya tatu alihonga wizara ya fedha kwa ajili ya dili la mwanamke.
Rais wa awamu ya nne alikuwa anahonga wilaya na mikoa.
Ccm inanuka uchafu haisafishiki. Magufuli ni dodoki chafu
 
Back
Top Bottom