Hata.......huwezi.......

Hata uwe na njaa vipi, huwezi kula Upepo.

Hata uwe na uroho wa kiasi gani, huwezi kuonja sumu.

Mbona zako zimekaa kututamanisha mambo ya maakuli???
Halafu ujue nimekumiss sana wewe...mza lakini???
 
Hata kuwe na giza vipi, mkono haukosei kupeleka tonge kinywani...
 
Mbona zako zimekaa kututamanisha mambo ya maakuli???
Halafu ujue nimekumiss sana wewe...mza lakini???

Mie mbona mzima tuuuuuuuu...........
Mie Dsm kabisa, hofu kwako.
 
Hata uwe unaitwa Simba, huwezi kukwepa tufani ya Libolo...
 
hata uwe na kontena la viatu huwezi kulala na viatu,lazima ulale peku
 
Hata uwe unampenda Vipi mkeo huwezi kumsaidia kubeba ujauzito...
 
Hata Yesu umpendeje uwezi kumuita !!baby!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…