Hata humu JF kuna majini aisee!!

Ha ha ha mkuu Mimi ni jini chuma ulete usiniogope.
Ila daah wewe chizi kweli umefanya hadi ule mchepuko uliokuwa unanizungukia ukimbie kabla sijala hela yake..
Sasa nitakuloga
 
Nalala na biblia, na nnapoiweka sikwambii! Ukijichanganya tu! Moto lazma ukulipue!
 
Ha ha ha mkuu Mimi ni jini chuma ulete usiniogope.
Ila daah wewe chizi kweli umefanya hadi ule mchepuko uliokuwa unanizungukia ukimbie kabla sijala hela yake..
Sasa nitakuloga
Jf... Jf... Jf...
Jiandae kwenda kunilimia mashamba yangu ya mpunga
Nimecheka mpaka mkojo unataka kunitoka. Uuuwih!!! Forgive my ribs jamani. Give me a break please
 
Back
Top Bottom