Ukiitengeneza hapa nyumbani utaandamwa na kodi, ushuru, tozo na mkusanyiko wa mamlaka hadi iwe ghali kuliko itokayo China.Hicho ni kitu kikubwa sana,
Toothpick yenyewe tunaagiza China. Haihitaji hata utaalam wowote wala haina mechanism yoyote ile useme hatuwezi kutengeneza.
prototype ni kitu gani tenaKama prototype tu ya hiyo mtu hawezi kuitengeneza unadhani ataweza kuendesha kamtambo ka kuproduce hiyo kitu.
Wakitengeneza watz vitakuwa na kutu hivyo si mchezo 🤣🤣🤣
Hiki kikubwa sana! Office pin mnatengeneza wapi?View attachment 2879915
Kwani hapo VETA, UDSM, UDOM na huko kwingine mnaenda kusoma nn?., maana kama kuendesha nchi mmeshindwa, kila kitu mnaharibu!
Wasomi msiokuwa na msaada wowote kwa nchi yenu, mnashindwa hata kuunda kidubwana local kama hicho mnakimbilia kuunda magari mtayaweza?
Kwa sasa wengine mnakimbilia kwenye ufugaji wa kuku broiler, kweli?. Msomi uliyesoma enginering unaanzaje kufuga kuku broiler eti ndo kazi yako ya kuendesha maisha na umebweteka kabisa.
Wengine mnakimbilia kusoma kozi za ONLINE kutengeneza sabuni za magadi, mtu umesoma miaka 4 halafu chuo halafu unakuja kusoma kozi ya siku moja na inakusaidia maisha, asa mnafuata nn huko chuo?, mnaenda kusoma ili mturingishie mtaani kuwa mlisoma vyuo?
Nchi ya ajabu sana hii...
Kweli unakuta mtu hajui kwamba unapokata gogo hutakiwi kusukuuuuuma la. Ni unavuta pumzi nyingii unaitoa, shuuuuush... mambo yanaenda menyewee.Teh teh teh koh koh koh aaaarrrhhh.
Kwa hiyo mkuu kunya sahihi ndiyo kunyaje huko, au mtu hadi apelekwe kozi akajifundishe kunya ndiyo aweze kunya sawa sawa?
Mm siyo mgunduzi na wala sina elimu ya chuo, ninacholaumu ni ninyi mliofika hadi chuo kikuu mnashindwa kutoa ugunduzi utakaotufaidisha hata sisi tusiokuwa na elimu ya chuo kikuu!...Mleta uzi tunaomba utuonyeshe ugunduzi wako ujitoe kwenye kundi la watanzania wajinga😁😁😁😁
🤣🤣🤣🤣Wakitengeneza watz vitakuwa na kutu hivyo si mchezo 🤣🤣🤣
V8 LC300 tunaagiza Japan piaView attachment 2879915
Kwani hapo VETA, UDSM, UDOM na huko kwingine mnaenda kusoma nn?., maana kama kuendesha nchi mmeshindwa, kila kitu mnaharibu!
Wasomi msiokuwa na msaada wowote kwa nchi yenu, mnashindwa hata kuunda kidubwana local kama hicho mnakimbilia kuunda magari mtayaweza?
Kwa sasa wengine mnakimbilia kwenye ufugaji wa kuku broiler, kweli?. Msomi uliyesoma enginering unaanzaje kufuga kuku broiler eti ndo kazi yako ya kuendesha maisha na umebweteka kabisa.
Wengine mnakimbilia kusoma kozi za ONLINE kutengeneza sabuni za magadi, mtu umesoma miaka 4 halafu chuo halafu unakuja kusoma kozi ya siku moja na inakusaidia maisha, asa mnafuata nn huko chuo?, mnaenda kusoma ili mturingishie mtaani kuwa mlisoma vyuo?
Nchi ya ajabu sana hii...
Kwanza tuanzie hapa,wewe Kwa Nini hukufika chuo kikuu?sisi wakati tunapambana na masomo wewe ulitakiwa uwe hata umegundua kitu maana sisi wenzio huko chuo kikuu tulikuwa hatujifunzi ufundiMm siyo mgunduzi na wala sina elimu ya chuo, ninacholaumu ni ninyi mliofika hadi chuo kikuu mnashindwa kutoa ugunduzi utakaotufaidisha hata sisi tusiokuwa na elimu ya chuo kikuu!...
Ni hayo tu kwa leo.
Mmmh hiyo I'd yako hutokaa ukaribishwe ikulu Wala KizimkaziKaka, hatuna stainless steel. Tukitengeneza vya kwetu tutaweka mabati yanashika KUTU siku mbili tu. Sisi tuache tuendelee kufurahia porojo za chalamila. BURE KABISA
SWALI: Kama tungesoma wote, nani angetawaliwa?.Kwanza tuanzie hapa,wewe Kwa Nini hukufika chuo kikuu?sisi wakati tunapambana na masomo wewe ulitakiwa uwe hata umegundua kitu maana sisi wenzio huko chuo kikuu tulikuwa hatujifunzi ufundi