Hata hii hotel mtasema ya Riz1

Hata hii hotel mtasema ya Riz1

mfianchi

Platinum Member
Joined
Jul 1, 2009
Posts
12,337
Reaction score
9,299
Hii kitu kinajengwa pale Slipways,kwa watu wanavyomshupalia Ritz1 mtasema hata huu mjengo ni wa kwake
 

Attachments

  • SLIPWAYS 008.JPG
    SLIPWAYS 008.JPG
    349 KB · Views: 2,414
watakufa na tutawazika kwenye kabox kadogo tu kanaitwa GENEZA hata hakana mbwembwe sana
 
mmmhhh kila kitu riz1 duuhh hapa jamaa atapasuka bichwa maana hata gari zuri tu likipita mjini ni la riz moko daa...
 
:smile:mpe kazi saidi na jeshi lake mwna halisi siku hizi hawapublish
 
Amma kweli sisi ngozi nyeusi ni sheeeda tuuuuu haya na wengeni waendee kwa mganga mukamrogee
 
Back
Top Bottom