NADHANI JIBU LA ANAYELALAMIKA HAKUNA PESA ALIKUWA ANAPIGA DILI....ni jibu jepesi mno hata kama lina some ukweli ndani yake, kuna explanation bora Zaidi kuliko hiyo.... sijui nani atasaidia kuelezea!
hali ya uchumi za wananchi imekuwa mbaya!
wengi tunaolalamika tunaambiwa tulikuwa tunapiga deal ndio maana tunalia!
sasa hawa nao wanatoa kilio kama chetu....
Hazina hawajapandisha mishahara hata baada ya uhakiki kwisha....
Tanesco wameomba poo, na wanataka tuongeze gharama za umeme sababu ya ukata....
TRA hadi wakakimbiza pesa ktk Fixed account kujiongezea kipato...
Bodi ya mikopo imeshindwa kulipa wanafunzi wengi kama ilivyotarajiwa....
Benki zimeshindwa kukopesha wananchi na nyingine kufungwa....
malalamiko ya kukosa dawa na chanjo mahospitalini......
Natamani tu kujiuliza hadi hawa nao walikuwa wapiga deal?
Mbona tuna-suffer pamoja?
Je, kuna explanation nyingine ya hali ya uchumi kuwa ngumu hivi!
JF ina experts ktk uchumi wanaweza kutoa maelezo mazuri zaidi
Naomba tufikiri tu kwa sauti